Nani ameelimisha sana jamii? Jay Mo (Mo technique ) Vs Fid Q (Farid Kubanda)

Fareed kubanda mzuri sana. Sema mashairi yake yako very technical watoto wa mama wanaweza wasimwelewe.
 
Binafsi, maisha ya boarding yalinihenyesha saaana kuhitimu high school. Na niliporudi kitaa nikaisikiliza vyema Story Tatu... completely nikawa nimekiri kuwa ama kweli Ulimwengu ndiyo Mama !

Wats'Up Jay Mo...

-Kaveli-
 
Hakuna asiyeelimisha jamii kati yao... Mmoja anatumia njia ya hadithi mwingine anatumia njia ya Tafakuri.
 
mkuu hiyo mpenzi kwaheri unayo?
 
Moe technique Moe Fleva hawezekaniki...
Huyu akiamua kuelimisha anaelimisha.. akiamua kuparty bado anavunja...
 
Mvua na jua, maisha ya boding. Mawazo, tathmini, ingekuwa vipi. Zina ujumbe wa kuelimisha fid q yeye ni mzee wa methali nahau na mafumbo
Akiipumzisha itaota kutu kwani hii kitu si ufunguo,anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo,kijana akawa mchezaji zaidi ya ronaldo wa brazil,anahesabu alichobakiza....
 
Jay Moe zaidi. asilimia kubwa ya nyimbo zake zinapeleka ujumbe kwa jamii tena wa kueleweka kirahisi. angalia hata ngoma zake za siku za karibuni kama "pesa madafu" unaelewa kabisa anachosema hata ukiwa mzee.
 
Ongeza na I need some money
 
Ongeza na I need some money
Nilisema nitarudi
Kuna
1.twenzetu ft chidbenz
2.nisamehe ft ngwea & bambuu
3.Jwtz ft prof jay & nature
4.nisaidie kushare
 
Ongeza na I need some money
Nilisema nitarudi
Kuna
1.twenzetu ft chidbenz
2.nisamehe ft ngwea & bambuu
3.Jwtz ft prof jay & nature
4.nisaidie kushare
 
Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
 
Nawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha
Ulimi mbili
Nyota ya mtaa
Am a professional
Bongo hiphop
 
Wote sawa tu,fid aliongea katika ngoma ya juhudi za wasiojiweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…