Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PropagandaSina kumbukumbu ya ngoma yoyote ya Fid ya kuelimisha jamii lkn hii haifanyi Fid kuwa sio msanii mzuri no jamàa yuko skilled sana,lkn stori tatu ile ni bonge ya ngoma.Mo hizi mambo za trap awaachie wakina harmorapa,tunataka Mo wa kitambo
mkuu hiyo mpenzi kwaheri unayo?Jay moe
1.ulimwengu ndio mama
2.majukumu
3.mshamba ft juma nature
4.Safari njema ft dudubaya and complex
5.nataka demu ft q chief and solo thang
6.maisha ya boarding ft dully sykes
7.mpenzi kwaheri ft TID
8.misosi mitungi na pamba ft AY
9.bishoo
10.Mvua na jua
11.cheza kwa step ft ngwea
12.kimya kimya ft ngwea
13.kasimama peke yake ft shakii
14.narudi shule ft mwana fa
15.alhamdulilah ft mchizi mox
16.mwingne ft rah p
17.mawazo
18.twende kwa mganga
19.tingisha ft TID
20.Mocumentary
21.story tatu
22.Miss Tanzania ft Ngwea
23.twenzetu ft jcb
24.famous ft p funk
25.hili game
Ntarudi
Akiipumzisha itaota kutu kwani hii kitu si ufunguo,anamuomba mungu amsitiri zaidi ya mwili wake na nguo,kijana akawa mchezaji zaidi ya ronaldo wa brazil,anahesabu alichobakiza....Mvua na jua, maisha ya boding. Mawazo, tathmini, ingekuwa vipi. Zina ujumbe wa kuelimisha fid q yeye ni mzee wa methali nahau na mafumbo
Ninayo mkuumkuu hiyo mpenzi kwaheri unayo?
Ongeza na I need some moneyJay moe
1.ulimwengu ndio mama
2.majukumu
3.mshamba ft juma nature
4.Safari njema ft dudubaya and complex
5.nataka demu ft q chief and solo thang
6.maisha ya boarding ft dully sykes
7.mpenzi kwaheri ft TID
8.misosi mitungi na pamba ft AY
9.bishoo
10.Mvua na jua
11.cheza kwa step ft ngwea
12.kimya kimya ft ngwea
13.kasimama peke yake ft shakii
14.narudi shule ft mwana fa
15.alhamdulilah ft mchizi mox
16.mwingne ft rah p
17.mawazo
18.twende kwa mganga
19.tingisha ft TID
20.Mocumentary
21.story tatu
22.Miss Tanzania ft Ngwea
23.twenzetu ft jcb
24.famous ft p funk
25.hili game
Ntarudi
Nilisema nitarudiOngeza na I need some money
Nilisema nitarudiOngeza na I need some money
Ulimi mbiliNawaomben msikilize ngoma za fid zifuatazo SUMU, PROPAGANDA, USINIKUBAL HARAKA. mkisikiliza hizo mrud tubishane naona weng mnachuki na ngosha