Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni.
Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
 
Ndio zipoje na zimetamgazwa wapi bungeni au wapi maana hizo ni kazi za connection km huna connection huko sahau kupata, emu weka link ya tangazo tuone na vigezo ni vipi ujue kusoma na kuandika tu au?
 
Tupe maswali yake mkuu.
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba.
 
Maswali yake yalikuaje mkuu?
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba
 
Shukurani Sana mkuu
 
Naomba unijuze namna ya ku apply
Ingia kwenye account yako ya ajila portal nenda kwenye vacancy unatafuta iyo kazi

Unaandika barua, afu una sign unakuja ku upload

In case huna account nenda stationary na namba ya nida vyeti vyako ambavyo Ni certified na passport size

Omba piga msuli mwenyezi mungu mwema anaweza kufanya kitu

Asante.
 
Shukrani sana mkuu
 
Mfanye na mazoezi ya kucharaza, mikato, frezi. Taarifa, barua, dokezo. Kila la heri waombaji.
 
Natumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni.
Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
ukishajua kuna aliyetuma inakusaidia nini? Wewe tuma maombi tu. It is personal issue
 
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba
Maswali rahisi
 
Back
Top Bottom