Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

Nani amefanikiwa kuapply kazi ya Mwandishi wa Taarifa Rasmi za Bunge

Hii kazi watu wa lingustics itawasaidia pale watakapo ajiliwa kwa maana wao ni wataalamu wa isimu ya lugha ila kwenye usahili walisome bunge kwa undani kwenye usahili wa hii kada hawatoagi mambo ya lingustics ...
 
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba.
Mkuu msaada practical ilikuaje kuaje na Maswali ya oral kama unayakumbuka . MSAADA
 
Back
Top Bottom