Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Tupe maswali yake mkuu.Mwaka Jana niliomba zilitangazwa sita waombaji tulikua 500+. Tuliingia written tukabaki 32 kuingia oral nikachemka, sijui Kama na mwaka huu wametangaza.
Maswali yake yalikuaje mkuu?Mwaka Jana niliomba zilitangazwa sita waombaji tulikua 500+. Tuliingia written tukabaki 32 kuingia oral nikachemka, sijui Kama na mwaka huu wametangaza.
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba.Tupe maswali yake mkuu.
Kwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiombaMaswali yake yalikuaje mkuu?
Shukurani Sana mkuuKwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba
Umefanikiwa kuapply?Shukurani Sana mkuu
Ndiyo.Umefanikiwa kuapply?
Naomba unijuze namna ya ku applyShukurani Sana mkuu
Ingia kwenye account yako ya ajila portal nenda kwenye vacancy unatafuta iyo kaziNaomba unijuze namna ya ku apply
Shukrani sana mkuuIngia kwenye account yako ya ajila portal nenda kwenye vacancy unatafuta iyo kazi
Unaandika barua, afu una sign unakuja ku upload
In case huna account nenda stationary na namba ya nida vyeti vyako ambavyo Ni certified na passport size
Omba piga msuli mwenyezi mungu mwema anaweza kufanya kitu
Asante.
Tuko pamoja jambo la muhimu kumtanguliza MUNGU.Shukrani sana mkuu
Kabisa mkuuTuko pamoja jambo la muhimu kumtanguliza MUNGU.
Asante.
ukishajua kuna aliyetuma inakusaidia nini? Wewe tuma maombi tu. It is personal issueNatumai sote tuna taarifa BUNGE letu lilitangaza nafasi za kazi hivi karibuni.
Naomba kufahamu kama kuna yeyote aliyefanikiwa kutuma maombi ya nafasi ya mwandiishi wa taarifa rasmi za bunge.
Shukrani sanaMfanye na mazoezi ya kucharaza, mikato, frezi. Taarifa, barua, dokezo. Kila la heri waombaji.
Maswali rahisiKwanza ufahamu historia ya bunge duniani yaani mwaka wa kuanza, bunge lipo kwamujibu wa Sheria ipi na ya mwaka gani. Sifa za mtu kuwa mbunge, speaker. Sifa za mtu kuwa mwandishi wa taarifa rasmi za bunge. Majukumu ya mwandishi wa taarifa hizo ni yepi. Maswali yote huwa katika Lugha ya kiingereza lakini, kikubwa soma Sana kuhusu kazi unayoiomba
MaswaliMaswali rahisi