Precious Diamond
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 593
- 1,376
Habari Wanajf?
Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika.
Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada mkubwa na unaendelea kuwa msaada mkubwa kwenye maisha yetu. Watu ambao ni kama malaika wametumwa kuja kuangalia, kutuongoza na kutuokoa pale tunapojikuta tumenasa kwenye matatizo makubwa.
Watu ambao wamekuwa wafariji wakubwa hata ukitaka kukata tamaa ukiwafikiria wao unapata nguvu ya kuendelea tena.
Twende kazi...