Kwa hiyo dak 3 ndiyo ulipe milioni 200?Acha ujinga kijana,mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM,SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Pesa zinapigwa haswaUfisadi ndani ya CCM ni kama utamuduni, mwache ale kwa urefu wa kamba yake
Unakuwa mvivu hata kwa mambo ambayo yako wazi duniani? Ingia google halafu endelea kubishana. Mimi nauliza nani kalipa kama hela zetu tujulishwe faida tuliyopata kwa dakika 3 au tumelipiwa tujiandae?Chanzo Cha TAARIFA kuhusu charges za hiyo pesa?
Vijana wa Mbowe hamna akili kabisaUnakuwa mvivu hata kwa mambo ambayo yako wazi duniani? Ingia google halafu endelea kubishana. Mimi nauliza nani kalipa kama hela zetu tujulishwe faida tuliyopata kwa dakika 3 au tumelipiwa tujiandae?
Wewe jamaa nawe uwe unajibu maswali kwa logic basi.Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Huwezi kuuficha u CCM wako, uko dhahiriAcha ujinga kijana,mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM,SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Washamba hawataisha!Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Bendera ya Tanzania inapepea UN na kwenye balozi zetu duniani kote, Leo lipi jipya kuonesha bendera kwa dakika 3?Acha ujinga kijana,mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM,SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.