Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Kwa hiyo dak 3 ndiyo ulipe milioni 200?
Kwani Rwanda wanalipa sh ngapi kuitangaza nchi yao pale Arsenal?
Rwanda sasa hivi Inaonekana ni nchi ya maana duniani sababu ya propaganda na matangazo,wakati kiuhalisia Rwanda hamna kitu unaweza fananisha na matangazo.
Mi naaminI faida inayoweza patikana ni kubwa kuliko hiyo milioni 200.
I stand to be corrected.
 
Huwezi kuuficha u CCM wako, uko dhahiri
Kwa akili yako mbovu wewe ndo unapendeza kuwa CCM.
Hizi haziwezi kuwa akili za BAVICHA,wala BAZECHA wala BAWACHA.
Kama upo CHADEMA utakuwa umetumwa then baadaye uunge mkono juhudi.
 
Hii nchi Ina vijana wa hovyo Sana,kila kitu kina garama yake,na kila kitu kina nafasi yake kwa wakati Fulani...Ni sawa na kusema kwa sababu wewe Ni maskini Basi usile vizuri...Ni uzwazwa....au kwa kuwa wewe Ni maskini haina haja ya kununua nguo Ni anasa Bora ela ukanunue chakula... stupid
Kweli mkuu kila kitu kina garama yake bc tuache kufanya uchagimuzi kwa maana unatumia pesa nyingi wakati tunajua ccm inashinda
 
Unakula kwa urefu wa kamba...nchi yetu ni moja kati ya nchi maskini ambazo zinatumia nguvu kubwa kujiaaminisha ni tajiri kwa maswala kama hayo
 
Kwa akili yako mbovu wewe ndo unapendeza kuwa CCM.
Hizi haziwezi kuwa akili za BAVICHA,wala BAZECHA wala BAWACHA.
Kama upo CHADEMA utakuwa umetumwa then baadaye uunge mkono juhudi.
Kama mwenyekiti wao ni zao la sifuri unategemea wafuasi wake wawe vipi...hawa vijana hovyo kabisa
 
Sisi nasi shida yetu ni nchi yetu kuonekana ya maana duniani ?
Kumbe unaelewa matangazo ya nchi hayana returns kama matangazo ya CocaCola?

Back
Top Bottom