Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshindwa kuweka vitu vinavyodumu hadi tutumie tangazo la dakika 3?Kila kitu kina gharama zake tulimponda Sana kigwangala kuwatumia kina Steve Nyerere kutangaza vivutio vyetu tukataka tuwe km Rwanda sasa piga hesabu ile visit Rwanda Arsenal au ile visit Rwanda PSG yani Neymar,Mbape,messi,Ramos etc wanaivaa unadhan ni mpunga kiasi gn Rwanda wameweka pale??? Tukitaka kula lazima tukubali kuliwa period.
Sasa wapi matangazo ni bure? Ronaldo post moja anapata 1.7 Million sembuse hiyo dola alfu 67. Nyingi kwetu sisi lakini sio nyingi kwa wengine na hasa serikaliKwa hiyo dak 3 ndiyo ulipe milioni 200?
Siyo nyingi kwa serikali kwa sababu hawana uchungu nazo. Zinaingia tu hata hawajui uchungu wa kutafuta.Sasa wapi matangazo ni bure? Ronaldo post moja anapata 1.7 Million sembuse hiyo dola alfu 67. Nyingi kwetu sisi lakini sio nyingi kwa wengine na hasa serikali
Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Basi hapo ndio unajiona umeongea kizungu baab kubwa, ha ha ha.A beautifully one are not yet born...
Typing error mkuuBasi hapo ndio unajiona umeongea kizungu baab kubwa, ha ha ha.
Nakuona shaka mzee wa mkorogo,nawe umekaa na mabilioneaUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Kwa hiyo ni sawa kulipia milioni 200 za wanyonge kwa ajili ya tangazo la dakika tatu?Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Sasa swali wapi utatangazwa bure? wakati Rwanda wamelipa mamilion kwa Arsnal kuna watu humu wanatushinda kwenye matangazo sisi tunawalipa tu hawa bongo movie nani anawajuwa sasa watu wameenda Burj Khaleefa ohh pesa nyingi alfu 67 kuna wakati hata hujui nchi hii wanataka nini. Matangazo ni gharama bwana nenda tu hapo katangaze kwenye Radio ndio utajuwa hakuna bure.Siyo nyingi kwa serikali kwa sababu hawana uchungu nazo. Zinaingia tu hata hawajui uchungu wa kutafuta.
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Huyo jamaa ni wa ajabu sana hana hata akili moja unaweza kukuta unabishana na Swila ama Kingai. Hakuna hata logic ya kuweka hiyo bendera hapo.Wewe jamaa nawe uwe unajibu maswali kwa logic basi.
Unatuaibisha hatari humu JF.
Wewe unazani kuseti hiyo mitambo ni bure?. Sabasaba tu hapo unalipia sembuse na hiyo mitambo?.
Afu bora wanetangaza utalii na utamaduni, na uwekezaji?.. Wao wanatangaza bendera.
Khaaaaa
Sasa swali wapi utatangazwa bure? wakati Rwanda wamelipa mamilion kwa Arsnal kuna watu humu wanatushinda kwenye matangazo sisi tunawalipa tu hawa bongo movie nani anawajuwa sasa watu wameenda Burj Khaleefa ohh pesa nyingi alfu 67 kuna wakati hata hujui nchi hii wanataka nini. Matangazo ni gharama bwana nenda tu hapo katangaze kwenye Radio ndio utajuwa hakuna bure.
Acha fikra za kimasikini 160m ni nyingi sana kuwekeza kwenye utalii wewe unajua tunakusanya shilling ngapi kwa siku uku bugani kwa watalii,...........tabia zakujiliza jiliza eti wanyonge masikini ziende na mwenda zake, Rwanda unatoa $30m (64bn kwa shilling za Tz) kwa arsenal kulipia tangazo la tu arm budge la vist RwandaMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765