Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.

Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.

Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.

View attachment 2134765
Sio lazima kila kitu upinge,kama tuu kutangaza hapo ni nongwa,ungeweza kutangaza matangazo ya kwenye mechi kama Kagame?
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Umeanza vzri ila umemaliza vibaya ...... hilo neno la mwisho nimeona aibu hata kulitaja ... hatakamq tangazo limekiln hapo bqdo ni faida kwa nchi yetu pia nipesa za wavuja jasho ... na unga mkono kutangaza nch yetu ila neno hakuna kama bla.... bla ....huo ni uzwazwa utumwa wa kifikra ulio pitiliza ...naomba niishie hapo
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Ni kweli kabisa tumelipa "sisi" ndiyo maana Tutailinda 'mipaka' ya Tanzania kwa gharama yoyote ile. Mwenge wa Uhuru umulike duniani kote.

Mungu wabariki Waafrika
Mungu wabariki Watanzania.
 
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.

Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.

Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.

View attachment 2134765
Una akili za kijinga kabisa.
 
Kila kitu kina gharama zake tulimponda Sana Kigwangala kuwatumia kina Steve Nyerere kutangaza vivutio vyetu tukataka tuwe kama Rwanda sasa piga hesabu ile visit Rwanda Arsenal au ile visit Rwanda PSG yaani Neymar, Mbape, Messi, Ramos etc wanaivaa unadhani ni mpunga kiasi gani Rwanda wameweka pale??? Tukitaka kula lazima tukubali kuliwa period.
Na wabongo wanawasifia Rwanda kwa hii move yao ya Arsenal na PSG..lakini tukifanya kidogo wanaanza tena kulalamika.
 
Una akili za kijinga kabisa.
Zimenisaidia Sana maishani maana sijawahi kujipendwkeza na kujikombakomba kama wewe. Nakula Kwa Jasho langu sitegemei Uchawa kama wewe.
 
Kwa akili yako mbovu wewe ndo unapendeza kuwa CCM.
Hizi haziwezi kuwa akili za BAVICHA,wala BAZECHA wala BAWACHA.
Kama upo CHADEMA utakuwa umetumwa then baadaye uunge mkono juhudi.
Huenda wewe ni dr slaa
 
Ukijifanya una patriotism sana utakosa angle za kutoboa. Hilo bango wanaweka hata kampuni na project ndogo za cryptocurrency hamna kubwa. Tafuta angle yako na wewe ujipakulie
 
Back
Top Bottom