Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 37,630
- 47,434
Tatizo la Tanzania sio matangazo.Nchi hii mna mahaba ya kijinga sana...mmeanza kumsakama kwa kila kitu sababu mmekosa nafasi...ccm ni wanafiki sana.
Kuitangaza nchi haijawahi kuwa rahisi.
Unafikiri 200ml inatosha kuajiri watu wangapi?
Nchi ikitangazwa vizuri, tukaachana na siasa chafu za kuonea upinzani, tutavutia wawekezaji wengi na ajira zitakua nyingi.
Kuitangaza nchi ni sahihi...ushauri waachane na siasa chafu
Tatizo letu ni usimamizi mzuri wa Rasilimali , kukusanya mapato na usimamizi mzuri wa miradi hilo tu.
Hayo mengine ndio tunaita matumizi mabaya ya fedha za uma.
Tumia akili na sio hisia.