Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Value for Money and Return on Investment...,

Kama kweli hayo usemayo basi hio pesa ingeweza kufanya makubwa zaidi na chenji kubaki...

Yaani hata yule mmasai wa tiktok impact yake ilikuwa kubwa zaidi for less
 
Wewe unayeunga mkono, tupe faida tunayopata Kwa kutangaza bendera dakika 3 Kwa mil.200.
Hii hapa 👇

Screenshot_20220301-080240.png


Screenshot_20220227-231740.png
 
KUNA VICHWA MAJI HUMU NDANI JANA WALIKUWA WANASIFIA NIKAJUA MTAWALA WA DUBAI KAIPENDA TANZANIA KAAMUA KUITANGAZA

KUMBE TUMELIPIA TENA MAPESA KIBAO KWA DAKIKA 3 KAMA BAO LA KUKU
 
Wewe jamaa nawe uwe unajibu maswali kwa logic basi.

Unatuaibisha hatari humu JF.

Wewe unazani kuseti hiyo mitambo ni bure?. Sabasaba tu hapo unalipia sembuse na hiyo mitambo?.

Afu bora wanetangaza utalii na utamaduni, na uwekezaji?.. Wao wanatangaza bendera.

Khaaaaa

Iyo khaaa kama vile ni jinsia ya ke
 
Tumeshindwa kuweka vitu vinavyodumu hadi tutumie tangazo la dakika 3?

Vitu vya kudumu si ndo mtalia kabisa…kama hii millions 157 unalia lia ukisema uweke kwenye jezi ya arsenal si mtaandamana
 
New York inatembelewa na watalii hadi milion 40 kwa mwaka wakati Dubai hawazidi milioni 4 kwa mwaka, hembu fanya hesabu rahisi za kuzidisha.

Huna point kalale…Sasa watu walikuwa Dubai waende UN kufanya nn
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Hawajui kuwa mama Anaupiga mwingi. Si kila kitu lazima ulipe toka mfukoni kwako. Zungumza vizuri na watu utapata vingi.
 
Back
Top Bottom