Babu Kijana
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 587
- 276
Kuwa mpinzani ni kazi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Watanzania siyo wa kuwaamini kabisa..Kila kitu kina gharama zake tulimponda Sana Kigwangala kuwatumia kina Steve Nyerere kutangaza vivutio vyetu tukataka tuwe kama Rwanda sasa piga hesabu ile visit Rwanda Arsenal au ile visit Rwanda PSG yaani Neymar, Mbape, Messi, Ramos etc wanaivaa unadhani ni mpunga kiasi gani Rwanda wameweka pale??? Tukitaka kula lazima tukubali kuliwa period.
Hatutaki hela yetu ichezewe hata kama nyie mnaiona ndogo. Sisi tunaolipa Kodi tunajua uchungu wa hela siyo nyie Kula kulala wa serikaliniVitu vya kudumu si ndo mtalia kabisa…kama hii millions 157 unalia lia ukisema uweke kwenye jezi ya arsenal si mtaandamana
Rwanda kwa Arsenal ni zaidi ya tz600bilionsAcha fikra za kimasikini 160m ni nyingi sana kuwekeza kwenye utalii wewe unajua tunakusanya shilling ngapi kwa siku uku bugani kwa watalii,...........tabia zakujiliza jiliza eti wanyonge masikini ziende na mwenda zake, Rwanda unatoa $30m (64bn kwa shilling za Tz) kwa arsenal kulipia tangazo la tu arm budge la vist Rwanda
Hii point yako ya mwisho sahihi kabisa. Yaani chwa chwa tangazo limeisha mil.157 tayari.KUNA VICHWA MAJI HUMU NDANI JANA WALIKUWA WANASIFIA NIKAJUA MTAWALA WA DUBAI KAIPENDA TANZANIA KAAMUA KUITANGAZA
KUMBE TUMELIPIA TENA MAPESA KIBAO KWA DAKIKA 3 KAMA BAO LA KUKU
Kwa Hilo tangazo tu,watu watajenga mahekalu mbezi beach,njiro,Shangani,mbweni(Dar na Zenj)uzunguni dodoma.na magari ya kifahari yatanunuliwaMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Umejuaje? Nyie ndiyo wanafiki much knowUfisadi ndani ya CCM ni kama utamuduni, mwache ale kwa urefu wa kamba yake
We dada angu unajua nini? tulia wanaume wapige pesaAliwazalo mjinga ndo linalomtokea….Fungua biashara bila kuibrand kama utapata kitu
Acha ujinga,Hilo jengo ni la mtu binafisi siyo Mali ya Serikali.Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Vijana ukiwaajiri utatumia gharama hiyo ya 200m kwa miaka yao yote ya ajira?Hii nchi inatafunwa sana
Yaani zipo milioni 200 za kulipia tangazo la dakika 3 lakini ajira kwa vijana hakuna na tunakopa fedha za kujenga vyoo.
Hawa wajinga wanafananisha tangazo la Rwanda na Tanzania tatizo wanaficha ukweli la Rwanda tunaliona Kila siku Hilo la Tanzania ni wachache wamebahatika kuliona kama chafya tu dakika tatu? Ama kweli tumepigwa na kitu kizitoHawa Watanzania siyo wa kuwaamini kabisa..
Wanaisifia Rwanda kila siku.
Leo TZ imefanya wanalalamika
Kazi ya chui jike hiyo, baba. Kazi iendeleeMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Wewe punguani Kila siku unapiga picha daraja la uhuru huku ukikenua meno yote selathini na mbili huoni hayo ni maendeleo? Sikumpenda magufuli lakini Kuna mambo makubwa amefanya ambayo Bado hutajayona Kwa mama japo twasikia kwamba mnaandaa birthday ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaniKwani zilipoacha kupigwa wakati wa jiwe, kuna maendeleo gani nchi ilipata?!
Wanapewa Ngorongoro mkuuMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.