Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Wewe pekee ndio umeizunguka hii dunia.....

Asietembea anajulikana kwa majibu yake tu
Inaonekana hujatembea wewe kwa majibu yako mepesi
Ila humu kuna watu mnatafuta ugomvi wa bure while others are looking for opportunities and have good relationships with others

Sasa wewe endelea kutafuta enemies
 
Unakuwa mvivu hata kwa mambo ambayo yako wazi duniani? Ingia google halafu endelea kubishana. Mimi nauliza nani kalipa kama hela zetu tujulishwe faida tuliyopata kwa dakika 3 au tumelipiwa tujiandae?
Wizara ya utalii imelipa mkuu
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Mtoaji wa huo msaada unadhani kafanya tu kama msaada? Kwenye dunia hi hi au nyingine?
 
Hatutaki hela yetu ichezewe hata kama nyie mnaiona ndogo. Sisi tunaolipa Kodi tunajua uchungu wa hela siyo nyie Kula kulala wa serikalini

Kwahiyo hapo inachezewa…Ulishawah uza hata mahindi wewe,biashara huijui tulia
 
Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.

Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.

Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.

View attachment 2134765
Hiyo fedha ni kidigo mono kwa marketing strategies! Dakika tatu kutambulika dunia nzima sio kitu kidogo! Hapo yameachwa maswali as homework kwa kila aliyona na aliyepiga picha au aliyeona post kuhusu hili tukio! Kila mmoja atataka kujua hii bendera ya wapi, Tanzania ndio wapi!? Hapo ndio mwanzo wa mengine mazuri!
Huwezi kuvuna bila ku invest!
Ni mtazamo tu
 
True say,watu hapa jf tatizo Lao ni Elimu Elimu Elimu
 
Hiyo fedha ni kidigo mono kwa marketing strategies! Dakika tatu kutambulika dunia nzima sio kitu kidogo! Hapo yameachwa maswali as homework kwa kila aliyona na aliyepiga picha au aliyeona post kuhusu hili tukio! Kila mmoja atataka kujua hii bendera ya wapi, Tanzania ndio wapi!? Hapo ndio mwanzo wa mengine mazuri!
Huwezi kuvuna bila ku invest!
Ni mtazamo tu
Nilivyoona Mawaziri mliokwenda Dubai nikajua tu lazima kuna kitu tutalizwa.
 
Angalia swali na majibu kuhusu timu kubwa Ulaya, kuvaa Visit Rwanda. Mbona Tanzania kufanya kitu kidogo Dubai, inakuwa nongwa?
Screenshot_20220301-150054~2.jpg

Sent from my Infinix X573 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo ni sawa kulipia milioni 200 za wanyonge kwa ajili ya tangazo la dakika tatu?

Hiyo faida unayohoji hapo ni kwamba Tanzania imepata baada ya kuuza bidhaa zake ama ndio unashangalia Tanzania yatima kutembeza bakuli kila siku?
Umesahau eeh Magufuli alichezeachezea hela za wanyonge kununua wapinzani.
 
Back
Top Bottom