Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Umesahau eeh Magufuli alichezeachezea hela za wanyonge kununua wapinzani.
Ushahidi u wapi? Upinzani walimuelewa ndio maana walijivua magamba na kuja kumuunga mkono achana na habari za vijiweni ndugu
 
Tuacheni ushamba mambo mengine mnayatunga vibaya,hayaendani ,hizo data za kulipa mmezipata wapi ? Wacheni kututilisha aibu kwa madai ya uwongo,mkishitakiwa mlete ushahidi mtasema mnaonewa.
1646139241042.png

Ova!
 
Na umesahau eeh Magufuli alikuwa anadokoa hela za wanyonge Hazina na kuzitapanya tapanya na kugawa kama njugu kwa mahawara zake uchwara?
Kachote taarifa huko ulipokuwa unazichukua urudi tena hapa kama hujui ule ulikuwa mshahara wake binafsi
 
Kachote taarifa huko ulipokuwa unazichukua urudi tena hapa kama hujui ule ulikuwa mshahara wake binafsi
Umesahau Magufuli alielekea kuupiromosha uchumi wetu kwa kukwapua na kulamba hela za wanyonge hazina na kuzichezea chezea hovyo hovyo?
 
Kwa hiyo dak 3 ndiyo ulipe milioni 200?
 
Bora miezi 6 hii ni dak 3 tu
 
Asietembea anajulikana kwa majibu yake tu
Inaonekana hujatembea wewe kwa majibu yako mepesi
Ila humu kuna watu mnatafuta ugomvi wa bure while others are looking for opportunities and have good relationships with others

Sasa wewe endelea kutafuta enemies
Umenitukania wazazi wangu bado tu unaniandama?!!

Basi mkuu wewe umetembea sana🙏

Chukua 5 hizi 👊
 
Umeniita mjinga
Humu kuna watu wa kila aina na heshima ni jambo la maana sana

Uwe na heshima kwa kila mmoja
Tunachangia na tunaeleweshana
Wewe unazijua bendera zote za Africa na ndio continent lako

Tunatofautiana mawazo ila kumuita mtu mjinga ni kosa kubwa sana hapo umeamua kutukanwa tu
Next time watch your mouth
Mkuu hebu kuwa mkweli....wapi nimekuita mjinga?!!!

Hebu rudia hizo comments tena....

Wameitwa wajinga waarabu kwa kuwa wanakaa majangwani na hawazijui bendera nami nikawataja wamasai kuwa pamoja na kuishi kwao porini bado wanazifahamu bendera za nchi...
Did you take it personal?!!!

Umenitukania wazazi wangu na bado unang'ang'ana tu....mbona nimewaheshimu wazazi wako?!!!

Matusi yanauzwa?!!

Ujinga si tusi bali upumbavu ndio matusi nami nimejihadhari nao nisiwataje wazazi wako WASIOKUWEPO HAPA.....
 
Back
Top Bottom