Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora wangeandika tanzania kuliko kuqeka bendera mwarabu akiona hayo marangirangi hawezi kuekewa kituAcha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Eleza sasa ueleweke. Nani amelipia?. Hakuna kama Samia ndio iliyolipa. Hakuna hata mia kwa nini itangazwe sehemu ya matamgazo,halafu kusiwe hata mia? FafanuaUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Bora utawala wa shetani kama ndio hivyoWalaji wa sasa hawabadilishi ukweli wa Huyo Jiwe kuwa na roho ya Kishetani. He was a real devil, I wonder why he died.
Ni uwekezwajiKwa hiyo tumelipiwa!?
Nenda shule kajifunze nini maana ya advertisement usiniulize mimi swali halina kichwa wala miguu. Nani duniani asiyejuwa Pepsi au Cocacola labda umezaliwa unazijuwa vizuri lakini umesikia hata siku wameacha kujitangaza? unataka kukuza utalii unadhani kila mtu anaijuwa Tanzania?Tunatangazwa ili iweje?
Sasa msilielie! Acha zitafunwe hadi wale vinyamkela walioko jela, canada na belgiji waone wivu.Walaji wa sasa hawabadilishi ukweli wa Huyo Jiwe kuwa na roho ya Kishetani. He was a real devil, I wonder why he died.
HIVI UNAJUWA HIZO ZILIZO LIPIA HILO TANGAZO ZIMETOKA WAPI? NDIVYO ZINAVYOTAFUTWA KAKA HAPO ZITAKUJA ZINGINE HIZO NA FAIDA JUU KIBAOMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Hahahaha.Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Ila umetoa nini. Hakuna cha bureUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
NA HILO LA DAKIKA TATU NDIYO WANALIANGALIA VIZURI KWA MAKINI MAANA WANAJUWA NI LA GHARAMATumeshindwa kuweka vitu vinavyodumu hadi tutumie tangazo la dakika 3?
Nchi hii mna mahaba ya kijinga sana...mmeanza kumsakama kwa kila kitu sababu mmekosa nafasi...ccm ni wanafiki sana.Wakati milioni mia mbili zikiteketezwa bila huruma kwa dakika tatu tu, mtandao wa ajira portal unaonekana hivi leo tarehe 1/03/2022.View attachment 2134860
Acha ujinga wewe ... Faida gani iliyopatikana hapo...!!?Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA