kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
royal tour wakiona hivyo utalii unapanda tz hatakama bendera iko dubaikwani kuona bendera ya Tanzania kunasaidia nini. Siyo kila mtu aliyeona bendera hiyo anajua kuwa ni ya Tanzania, je wewe ukuiona bendera hii kwa mara ya kwanza kwa dakika tatu utajua ni ya nchi gani?
View attachment 2135715
Lete ambalo limebadilika
Acha uongoo. Malipo nilazimaa. Inauma saaanaaUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Kwahio kuwekwa kwenye mataa ya burj khalifa ni maendeleo?Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Huko UN inalipiwa kama burj khalifa? Au unafikiri imeekwa bure paleBendera ya Tanzania inapepea UN na kwenye balozi zetu duniani kote, Leo lipi jipya kuonesha bendera kwa dakika 3?
Si mnajua wapendacho warabu lakini, andaeni washeli hizoKama hatujatoa hata Mia huu msaada wa bure sisi tutawalipa nini warabu wa dubai?
Unapoendesha mkweche wako kuwa makini huko njiani utaona nini jiwe alifanyaKwani zilipoacha kupigwa wakati wa jiwe, kuna maendeleo gani nchi ilipata?!
Kama dkk 3 ni milion 157 likikaa siku nzima do the maths😅Kwa Hilo tangazo tu,watu watajenga mahekalu mbezi beach,njiro,Shangani,mbweni(Dar na Zenj)uzunguni dodoma.na magari ya kifahari yatanunuliwa
Hio process ya kusafirisha katani unafikiri ni jambo rahisi? Unafikiri kwa nini fursa hizo wanazifaidi wageni na viongozi mafisadi tu!Baadhi ya watanzania,kazi yao kulalamika,fursa za kupata kipato,zikija anabakia kulalamika.Wageni wanazitumia hizo fursa,mpaka wao wanashangaa wanasema watanzania ni watu wa ajabu,wakati nchi ina fursa nyingi za kufuatilia ofisi zinazohusika,wao ni kulalamika.Leo mgeni,anakuja Tanzania anazifuatilia fursa,na kuzifanyia kazi.Utamkuta mgeni ndio anasafirisha bidhaa kadhaa nje,madini,mazao kama katani,leo katani inakwenda falme za kiarabu,wamegundua katani ya Tanzania ndio nzuri,kutengeneza jipsum,wasafirishaji wa hiyo katani,ni wageni sio watanzania,sisi ni kulalamika tu,kwa jambo hata mtu hana ushahidi nalo.
Mwenyekiti wa kina nani?Kama mwenyekiti wao ni zao la sifuri unategemea wafuasi wake wawe vipi...hawa vijana hovyo kabisa
Acha bangi,labda wewe Nasari.Huenda wewe ni dr slaa
Ungeweka tu majibu bila kuhemka..!! Mara umelipa wewe, mara hajui faida ya kilichofanyika, mara Tanzania haijalipa chochote... Ungeeleza tu hizo faida na kusema nani kalipa tungeelewa... UMEJIGAMBA KUUWA ADUI KWA KUMPIGA BOMU MOCHWARE KAHIFADHIWA BAADA YA KUFAUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Hata mimi sijui.Manufaa yake ni yapi ?
Umasikini wa akili ni huu unaoonesha wewe hapa. Kuziona mil.200 zinzoweza kujenga madarasa 6 au madawati 10,000 Kwa shule ya kijijini kuwa ni fedha ndogo wakati hutuelezi impact ya tangazo la bendera ya Taifa ni ipi Kwa utalii au uwekezaji?200m tu jamani? Zamaradi aliweza serikali inashindwaje sasa, watu mna umasikini wa akili.
Nimemsikia waziri wa kazi asubui hii Clouds FM Power breakfast akisema kuwa Mama amepewa offer ya bure kuonekana picha ya bendera yetu , sura yake na maneno Tanzania is ready for taking off, kawaida ya matangazo kama hayo yanapokezana matangazo mbali mbaliKama dkk 3 ni milion 157 likikaa siku nzima do the maths[emoji28]
Kama bure sawaNimemsikia waziri wa kazi asubui hii Clouds FM Power breakfast akisema kuwa Mama amepewa offer ya bure kuonekana picha ya bendera yetu , sura yake na maneno Tanzania is ready for taking off, kawaida ya matangazo kama hayo yanapokezana matangazo mbali mbali
Hio Hela so V8 Moja tu ya serikali au ? Nilijua Billion I mbili ila kama ni hiyo kwa nchi kama hii ni hela ya kawaida Sana.Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765