Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

[emoji23]Yani vijana tunateseka haya Sasa bado unamtafuta aliyelipia
 
Umasikini wa akili ni huu unaoonesha wewe hapa. Kuziona mil.200 zinzoweza kujenga madarasa 6 au madawati 10,000 Kwa shule ya kijijini kuwa ni fedha ndogo wakati hutuelezi impact ya tangazo la bendera ya Taifa ni ipi Kwa utalii au uwekezaji?
Kwani madarasa hayajajengwa? Kuitangaza tanzania ni biashara tosha na sidhani kama na wao wamefanya ili kupata hasara. Biashara matangazo ndugu...unadhani tatizo tulilonalo ni madawati peke yake?
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA
Haujajibu Swali,hiyo Pesa Katoa/kalipa nani?
 
Kwani madarasa hayajajengwa? Kuitangaza tanzania ni biashara tosha na sidhani kama na wao wamefanya ili kupata hasara. Biashara matangazo ndugu...unadhani tatizo tulilonalo ni madawati peke yake?

Huyo bila bila hana akili…Kuna watu humu unaweza kichwani ni timamu kumbe hamna kitu…Sasa usijenge nyumba au maendeleo kisa watoto wako wote hawana nguo mpya ?
 
Umasikini wa akili ni huu unaoonesha wewe hapa. Kuziona mil.200 zinzoweza kujenga madarasa 6 au madawati 10,000 Kwa shule ya kijijini kuwa ni fedha ndogo wakati hutuelezi impact ya tangazo la bendera ya Taifa ni ipi Kwa utalii au uwekezaji?
Haya furahi basi..pesa zitakuja kuleta madawati kijijini kwenu
 
Huyo bila bila hana akili…Kuna watu humu unaweza kichwani ni timamu kumbe hamna kitu…Sasa usijenge nyumba au maendeleo kisa watoto wako wote hawana nguo mpya ?
Eti usitoe pesa kuitangaza biashara yako ili upeleke pesa nyumbani ikanunue kigoda
 
Eti usitoe pesa kuitangaza biashara yako ili upeleke pesa nyumbani ikanunue kigoda

Wao wanaona bora yule aliyekuwa anatoa billions of money kununua wabunge na kufanya uchaguzi hewa
 
Umelipa wewe,

Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,

#HAKUNA KAMA SAMIA

Mkuu niunge kwenye kitengo cha kuwatolea uvivu watu wa join the chain.akili zipo kwenye makalio wao ni kupinga tu pasi na kuwa na reason
 
Huyo bila bila hana akili…Kuna watu humu unaweza kichwani ni timamu kumbe hamna kitu…Sasa usijenge nyumba au maendeleo kisa watoto wako wote hawana nguo mpya ?
Yaani Mimi nisiwe na akili halafu wewe uwe na akili kweli? Hebu sema kweli kipi kinaonesha Una akili?
 
Haya furahi basi..pesa zitakuja kuleta madawati kijijini kwenu
View attachment 2136076
Wewe ulikuwa unajua aliyelipa? Kwani bila Wenye akili kuuliza wewe ungepata cha kuchangia humu? Ametoa ufafanuzi na nimemuuliza tena aje afafanue tumelipiwa ili tulipe nini? Yaani tumetoka kwenye mikopo tunaanza kulipiwa? Ni kishika uchumba au ni hongo? Ufafanuzi wa kwamba wamefurahi kutembelewa wakatuhonga tangazo pelekeni kwenye vikao vyenu Lumumba.
 
Ndugu,ni bora walivyotumia hivyo japo ni matumizi ya hovyo lakini yameonekana kuliko wangejinufaisha wenyewe kwa matumbo yao
 
Lazima tutangaze utalii kwa gharama yoyote ile acheni kulialia watalii hawaji tu eti kisa una nbuga za wanyama hapana!! Tenga startegies za kuwaita hii nchi watu mnapenda kulialia sana
 
Mnapenda kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.
 
Mnapenda kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.
Mnufaika Mkuu wa ufisadi serikalini huwezi kuwa na pointi ya maana zaidi ya kaahifa. Waathirika wa ufisadi ni Wananchi wazalendo wa nchi hii siyo nyie walaji msio na haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…