co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Hivi Tumekosa Njia Nyingine Ya Kutangazwa Nje Ya Nchi Zaidi Ya Hii?
Wewe shida yako ni nini? Ubaya humu watu wanajifanya wana akili kumbe vilaza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Tumekosa Njia Nyingine Ya Kutangazwa Nje Ya Nchi Zaidi Ya Hii?
[emoji23]Yani vijana tunateseka haya Sasa bado unamtafuta aliyelipiaMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Kwani madarasa hayajajengwa? Kuitangaza tanzania ni biashara tosha na sidhani kama na wao wamefanya ili kupata hasara. Biashara matangazo ndugu...unadhani tatizo tulilonalo ni madawati peke yake?Umasikini wa akili ni huu unaoonesha wewe hapa. Kuziona mil.200 zinzoweza kujenga madarasa 6 au madawati 10,000 Kwa shule ya kijijini kuwa ni fedha ndogo wakati hutuelezi impact ya tangazo la bendera ya Taifa ni ipi Kwa utalii au uwekezaji?
Haujajibu Swali,hiyo Pesa Katoa/kalipa nani?Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Kwani madarasa hayajajengwa? Kuitangaza tanzania ni biashara tosha na sidhani kama na wao wamefanya ili kupata hasara. Biashara matangazo ndugu...unadhani tatizo tulilonalo ni madawati peke yake?
Haya furahi basi..pesa zitakuja kuleta madawati kijijini kwenuUmasikini wa akili ni huu unaoonesha wewe hapa. Kuziona mil.200 zinzoweza kujenga madarasa 6 au madawati 10,000 Kwa shule ya kijijini kuwa ni fedha ndogo wakati hutuelezi impact ya tangazo la bendera ya Taifa ni ipi Kwa utalii au uwekezaji?
Eti usitoe pesa kuitangaza biashara yako ili upeleke pesa nyumbani ikanunue kigodaHuyo bila bila hana akili…Kuna watu humu unaweza kichwani ni timamu kumbe hamna kitu…Sasa usijenge nyumba au maendeleo kisa watoto wako wote hawana nguo mpya ?
Eti usitoe pesa kuitangaza biashara yako ili upeleke pesa nyumbani ikanunue kigoda
Sawa G. Msig.aUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Yaani Mimi nisiwe na akili halafu wewe uwe na akili kweli? Hebu sema kweli kipi kinaonesha Una akili?Huyo bila bila hana akili…Kuna watu humu unaweza kichwani ni timamu kumbe hamna kitu…Sasa usijenge nyumba au maendeleo kisa watoto wako wote hawana nguo mpya ?
Wewe ulikuwa unajua aliyelipa? Kwani bila Wenye akili kuuliza wewe ungepata cha kuchangia humu? Ametoa ufafanuzi na nimemuuliza tena aje afafanue tumelipiwa ili tulipe nini? Yaani tumetoka kwenye mikopo tunaanza kulipiwa? Ni kishika uchumba au ni hongo? Ufafanuzi wa kwamba wamefurahi kutembelewa wakatuhonga tangazo pelekeni kwenye vikao vyenu Lumumba.Haya furahi basi..pesa zitakuja kuleta madawati kijijini kwenu
View attachment 2136076
Hizi barabara za awamu ya 4 ambazo awamu ya 5 walikuwa bize kuzindua?!Unapoendesha mkweche wako kuwa makini huko njiani utaona nini jiwe alifanya
Ndugu,ni bora walivyotumia hivyo japo ni matumizi ya hovyo lakini yameonekana kuliko wangejinufaisha wenyewe kwa matumbo yaoMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Yaani Mimi nisiwe na akili halafu wewe uwe na akili kweli? Hebu sema kweli kipi kinaonesha Una akili?
Mnapenda kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Inakuwaga dakika ngapi??
Mnufaika Mkuu wa ufisadi serikalini huwezi kuwa na pointi ya maana zaidi ya kaahifa. Waathirika wa ufisadi ni Wananchi wazalendo wa nchi hii siyo nyie walaji msio na haya.Mnapenda kuokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF.