Nani amelipa Tsh Milioni 200 tangazo la Tanzania kwenye jengo la Burj Khalifa, Dubai?

Kugundua Wewe kwamba huna akili
Siwezi kukosa akili wakati serikali ilipoona nilichohoji imekimbilia kwenye media kunijibu. Mmeanza lini kujibu wasio na akili au mna Mawaziri wasio na akili wanaojibu wasio na akili?
 
Mnufaika Mkuu wa ufisadi serikalini huwezi kuwa na pointi ya maana zaidi ya kaahifa. Waathirika wa ufisadi ni Wananchi wazalendo wa nchi hii siyo nyie walaji msio na haya.
Tanzania pale Dubai kutangazwa hawajalipa hata mia nyie mapungauni ndiyo mnalazimisha kuwa wamelipa pesa wekeni ushahidi wa malipo.
 
Milioni 200 mbona kidogo kwa nchi yenye vivutio vya utalii duniai ambavyo inashika nafasi ya pili baada ya Brazil,sida yetu hatujitangazi kazi kulalamika watalii kidogo.
 
Nani alikudanganya na kukukaririsha tunashika nafasi ya pili baada ya Brazil kwa vivutio vingi vya utalii?!
Milioni 200 mbona kidogo kwa nchi yenye vivutio vya utalii duniai ambavyo inashika nafasi ya pili baada ya Brazil,sida yetu hatujitangazi kazi kulalamika watalii kidogo.
 
Bandari imeenda kiutani
 
Ulipo andika watu walikukejeli leo wanapanua midomo
 
Utawala huu ndio itakuwa kwa mara ya kwanza mfalme kuondolewa kinga na kupandishwa kwenye mahakama za kiraia kwa makosa yasiyo dhaminika, just stay distant watching the conflicting sequel ahead.
 
Utawala huu ndio itakuwa kwa mara ya kwanza mfalme kuondolewa kinga na kupandishwa kwenye mahakama za kiraia kwa makosa yasiyo dhaminika, just stay distant watching the conflicting sequel ahead.
Unaota au,

Anyway, halipo lisilowezekana chini ya jua kwake Yeye aaminiye.

Wote tuseme, Aaaamin.
 
Alietangazwa
 
Tanzania pale Dubai kutangazwa hawajalipa hata mia nyie mapungauni ndiyo mnalazimisha kuwa wamelipa pesa wekeni ushahidi wa malipo.
Kwamba tulipewa promo ya Bure?

Nijuavyo mm hata PUMZI Si ya Bure, Mungu ametulipia sababu sisi wanae.

Dubei Kuna nani etu atulipie?
 
Bendera ya kenya nimeiona usiku huu wa leo ikipepea jengo hilo
 
Attachments

  • images (2).jpeg
    23.8 KB · Views: 2
Ulipo andika watu walikukejeli leo wanapanua midomo
Asante Kwa kumbukumbu yako nzuri Mkuu. Duniani Hakuna Mtu atakulipia chakula ule bure uondoke. Nilipoandika haya karibu mwaka Sasa watu walitoka vichochoroni na mjini na mapanga na kama wangekuwa wanafahamu ninapoishi nisingekuwa hai Leo. Lakini kiko wapi? Niliyosema ndiyo Watanzania wanaoipenda nchi yao wanayojitahidi kuyapigia kelele. Tungeona wengi Tangu mwanzo tusingefika hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…