Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani dk tatu kuomyesha bendera bila ujumbe? Watu wangapi waliona hiyo bendera? huu ni uhuni tu...Kwa hiyo dak 3 ndiyo ulipe milioni 200?
Tanzania pale Dubai kutangazwa hawajalipa hata mia nyie mapungauni ndiyo mnalazimisha kuwa wamelipa pesa wekeni ushahidi wa malipo.Mnufaika Mkuu wa ufisadi serikalini huwezi kuwa na pointi ya maana zaidi ya kaahifa. Waathirika wa ufisadi ni Wananchi wazalendo wa nchi hii siyo nyie walaji msio na haya.
Pesa inapigwa balaaYaani dk tatu kuomyesha bendera bila ujumbe? Watu wangapi waliona hiyo bendera? huu ni uhuni tu...
Wewe ndo umeleta mada... By the way wenzako wanasema hawajalipa wala kulipwaWe unajua zinakuwaga ngapi?!!?
Milioni 200 mbona kidogo kwa nchi yenye vivutio vya utalii duniai ambavyo inashika nafasi ya pili baada ya Brazil,sida yetu hatujitangazi kazi kulalamika watalii kidogo.
Tumerudi zama za upigajiMwigulu Nchemba huyo, hii awamu pesa zinapigwa kama mvua
Hata awamu iliyopita zilikuwa zinapigwa lakini hii imezidiTumerudi zama za upigaji
Bandari imeenda kiutaniMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Ulipo andika watu walikukejeli leo wanapanua midomoMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Utawala huu ndio itakuwa kwa mara ya kwanza mfalme kuondolewa kinga na kupandishwa kwenye mahakama za kiraia kwa makosa yasiyo dhaminika, just stay distant watching the conflicting sequel ahead.Mamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Unaota au,Utawala huu ndio itakuwa kwa mara ya kwanza mfalme kuondolewa kinga na kupandishwa kwenye mahakama za kiraia kwa makosa yasiyo dhaminika, just stay distant watching the conflicting sequel ahead.
AlietangazwaMamlaka ya uendeshaji wa jengo refu zaidi duniani la Burji Khalifa lililoko Dubai hutoza kati ya dola 67,000 hadi 87,000 ambazo kwa ubadilishaji fedha kwa haraka haraka inafiki Tshs. Milioni 157 hadi 200 hivi kwa dakika 3 kuweka tangazo kwenye jengo lote la Burji Khalifa.
Fedha hii kwa nchi masikini kama hii bado ni kubwa na ingeweza kufanya jambo la maana. Jana Februari 28 jengo hilo limetangaza bendera ya Tanzania kwa dakika 3 na wenye Serikali yao wakatutangazia neema kwamba nasi tumeonekana Dubai.
Hebu tuzionee huruma fedha za walipa kodi wanaojikamua huku sisi viongozi tukiishi kwa anasa.
View attachment 2134765
Kwamba tulipewa promo ya Bure?Tanzania pale Dubai kutangazwa hawajalipa hata mia nyie mapungauni ndiyo mnalazimisha kuwa wamelipa pesa wekeni ushahidi wa malipo.
Asante Kwa kumbukumbu yako nzuri Mkuu. Duniani Hakuna Mtu atakulipia chakula ule bure uondoke. Nilipoandika haya karibu mwaka Sasa watu walitoka vichochoroni na mjini na mapanga na kama wangekuwa wanafahamu ninapoishi nisingekuwa hai Leo. Lakini kiko wapi? Niliyosema ndiyo Watanzania wanaoipenda nchi yao wanayojitahidi kuyapigia kelele. Tungeona wengi Tangu mwanzo tusingefika hapa.Ulipo andika watu walikukejeli leo wanapanua midomo