Black billionaire
JF-Expert Member
- Oct 16, 2018
- 455
- 526
Nakuona shaka mzee wa mkorogo,nawe umekaa na mabilioneaView attachment 2134777
Hahaha eti Mzee wa mkorogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona shaka mzee wa mkorogo,nawe umekaa na mabilioneaView attachment 2134777
hata kama sio unaweka bendera tu, bora hata hao PSG na Arsenal visit Rwanda ina make sense mtu akisoma anatamani agoogle, sasa hizo rangi nne mtu atajua kama ni bendera ya TZ wakati kuna raia huko ulaya washaulizwa unaijua Tanzania wakadai hata hawaijuiSasa swali wapi utatangazwa bure? wakati Rwanda wamelipa mamilion kwa Arsnal kuna watu humu wanatushinda kwenye matangazo sisi tunawalipa tu hawa bongo movie nani anawajuwa sasa watu wameenda Burj Khaleefa ohh pesa nyingi alfu 67 kuna wakati hata hujui nchi hii wanataka nini. Matangazo ni gharama bwana nenda tu hapo katangaze kwenye Radio ndio utajuwa hakuna bure.
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Kama mtu anaulizwa haijui Tanzania,huo ni kilaza.Nchi iko kwenye ramani,halafu anasema haijui,huyo ni kilaza.hata kama sio unaweka bendera tu, bora hata hao PSG na Arsenal visit Rwanda ina make sense mtu akisoma anatamani agoogle, sasa hizo rangi nne mtu atajua kama ni bendera ya TZ wakati kuna raia huko ulaya washaulizwa unaijua Tanzania wakadai hata hawaijui
tuwe serious bhana
Hilo Tangazo linabadilika,halibakii hivyo,unavyoliona.Tangazo Lina maana kubwa but not bendera bwana,
Ww umeelewa nn hapo? Inchi gani nyingine inatangaza utalii Kwa kuweka bendera kwa namna hiyo?
Hilo Tangazo linabadilika,halibakii hivyo,unavyoliona.
Acha ujinga kijana, mnataka maendeleo ila kuumia hamtaki.
Hilo ni tangazo la muhimu kama ya nchi nyingine tu.
USIJE NIITA CCM, SIJAWAHI IPENDA CCM TOKA NIZALIWE lakini tusiwe wajinga wa kubisha tu hata jambo lenye manufaa kwa taifa kama hilo.
Nilijua utasema hivyo. Lione kwanza; unajifanya unajua Kiingereza kuliko waingereza wenyewe waliochapisha kitabu. Ha ha ha unakuwa kama wakenya?
Nimekuambia waingereza waliochapisha kitabu; mbona huelewi? Kubali tu wewe ni mpuuzi unayetaka kujifanya mjuaji kupitiliza.Ayi Kwei ni Mwingereza.! Hebu ficha hii aibu, vilaza ni wengi mno usidhani uko peke yako.
Inakuwaga dakika ngapi??Ndo iwe dakika tatu [emoji23]
Tumepigwa sana hii nchi.
Kun watu hata hawajui kuwa hiyo ni bendera ya Tamnzania bali wanaona rangi tu, ambazo baada ya dakika tatu zinyeyuka, huku dinari zetu 250,000 zimekwenda.Wewe jamaa nawe uwe unajibu maswali kwa logic basi.
Unatuaibisha hatari humu JF.
Wewe unazani kuseti hiyo mitambo ni bure?. Sabasaba tu hapo unalipia sembuse na hiyo mitambo?.
Afu bora wanetangaza utalii na utamaduni, na uwekezaji?.. Wao wanatangaza bendera.
Khaaaaa
watu wote kwenye maonesho wameiona hiyo benderaKun watu hata hawajui kuwa hiyo ni bendera ya Tamnzania bali wanaona rangi tu, ambazo baada ya dakika tatu zinyeyuka, huku dinari zetu 250,000 zimekwenda.
kwani kuona bendera ya Tanzania kunasaidia nini. Siyo kila mtu aliyeona bendera hiyo anajua kuwa ni ya Tanzania, je wewe ukuiona bendera hii kwa mara ya kwanza kwa dakika tatu utajua ni ya nchi gani?watu wote kwenye maonesho wameiona hiyo bendera
Mpaka kesho ..nakataaaa mfumo wa elimu uliopo afrika na ulaya... Ni tofauti ... Mwaka 1986 (nazaliwa) mama yangu pamoja na Dr.Lyakurwa (mkufunzi wa SauT) walikuwa wanafunzi Urusi mama akisoma economc fani ambayo NAMI mimesoma... Mwaka 1994 tukahamia Manchester University ... nikiwa darasa la 4 kutoka Peramiho shirika la Wabenedictini mwaka 2009 akanifundisha .. Tena SAUT degree ya kwanza na 2013 akanifundisha Masters ya arts of economics kama Kuna wataalamu wa mitandao watakua wamejua Mimi ni nani... Na Sasa nafanya doctorate ya uchumi... ..Umelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "🤣🤣🤣
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Sawa bwana katibu mwenezi wa chama chakavu tzUmelipa wewe,
Unajua faida ya kilichofanyika hapo au ndio "Join the Chain "[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikusaidie tu, Tanzania haijatoa hata Mia,
#HAKUNA KAMA SAMIA
Iyo elimu yako haina faida yoyote kwa Taifa, bora ungeishia la saba tuMpaka kesho ..nakataaaa mfumo wa elimu uliopo afrika na ulaya... Ni tofauti ... Mwaka 1986 (nazaliwa) mama yangu pamoja na Dr.Lyakurwa (mkufunzi wa SauT) walikuwa wanafunzi Urusi mama akisoma economc fani ambayo NAMI mimesoma... Mwaka 1994 tukahamia Manchester University ... nikiwa darasa la 4 kutoka Peramiho shirika la Wabenedictini mwaka 2009 akanifundisha .. Tena SAUT degree ya kwanza na 2013 akanifundisha Masters ya arts of economics kama Kuna wataalamu wa mitandao watakua wamejua Mimi ni nani... Na Sasa nafanya doctorate ya uchumi... ..
Kuna mwenzako alifaya Hilo ufanyalo ..nkamjibu .."Fuatilia siku ya Ushirika Dunia na miundo ya masoko kipindi Cha Profesa Mkenda !!?? Hiyo Moja ,Mbili Ngazi za ugatuaji wa madaraka ... Enheee umeona Muuondo mpya wa Serikali za mitaa !!?? Karibu .... Katika kipande hii kunywa maji ..hauna kitu unajua....Iyo elimu yako haina faida yoyote kwa Taifa, bora ungeishia la saba tu
Ulipokosea kutaja jina la Dr Lyakurwa ungenyoosha kusema baba ako Mana kumbukumbu zangu zinaoneshaMpaka kesho ..nakataaaa mfumo wa elimu uliopo afrika na ulaya... Ni tofauti ... Mwaka 1986 (nazaliwa) mama yangu pamoja na Dr.Lyakurwa (mkufunzi wa SauT) walikuwa wanafunzi Urusi mama akisoma economc fani ambayo NAMI mimesoma... Mwaka 1994 tukahamia Manchester University ... nikiwa darasa la 4 kutoka Peramiho shirika la Wabenedictini mwaka 2009 akanifundisha .. Tena SAUT degree ya kwanza na 2013 akanifundisha Masters ya arts of economics kama Kuna wataalamu wa mitandao watakua wamejua Mimi ni nani... Na Sasa nafanya doctorate ya uchumi... ..