Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 356
- 418
Nimesikiliza nyimbo zake 4..ikiwemo ile Diena Khaligraph Jones ila amesample vibaya sana nyinbo ile ya wyclef Jean ft MiA -she used to be a sweetest girl kama hakuomba copyright kisample hio beat itakuja mletea shida siku za mbeleni
Hiv yupo humu eeh??!!hello JF
Nimesikiliza nyimbo zote za albam mpy ya Harmonize...aisee nyimbo zote ni nzuri sana...hongera mkuu Harmonize
Yes... Sheria za hatimiliki iko hivyo lakini sio miaka 20 kweli?Nyimbo ikifikisha miaka 15 unaitumia bila kuomba (mdundo wa wimbo)
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wa muziki utawajua tu.
Hatari sanaa.
Hivi DM chick ipo kwenye. Hiyo album ? Huu wimbo mkali ?Achane utani,hivi nyimbo kama inanimaliza na wife zina uzuri gani?
au mi ndo napotezwa na huu upepo wa corona?
Harmonize kafanya nini tenaHello JF
Nimesikiliza nyimbo zote za albam mpy ya Harmonize...aisee nyimbo zote ni nzuri sana...hongera mkuu Harmonize.