Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

Nani amemfundisha Harmonize kujibu Maswali vizuri mbele ya camera? Amepiga hatua kubwa na amewazidi wasanii wengi

mi sijui nakwama wapi? mbona naona hii album ya kawaida kabisa! 85% ya nyimbo zote n sample ya zile zilizotamba huko nyuma, kimelody, beat na hata lyrics ... afu kiingereza chake lolololololooooh! kajitahid tu kwny refix ya "never give up" kwengine kaboronga.... unaija mwingi

kingine hii album kaimba km mtu aliye kwny mawazo mengi ya kuonewa, sauti yake kwa kiasi fulani inatia huruma...

mwisho ni kuwa next time ajitahid kuchanganya producers, sio album nzima wawili au watatu tu!

yangu ni hayo
 
Nasubiri huu upepo wa corona uishe ndio nikae chini niisikilize.
 
Hakika nawapongeza wote wenye uwezo wa kununua album za kibongo....lakini zaidi zaidi...kuketi na kusikiliza.

hongereni munoo...
 
Achane utani,hivi nyimbo kama inanimaliza na wife zina uzuri gani?


au mi ndo napotezwa na huu upepo wa corona?
 
Corona au COVID19 ilihusika kwenye hili sakata la harmonize, ambapo mikusanyiko yooote zikiwepo shule imezuiwa na kufungwa, so kutokana na hilo bigup sana, mlisoma alama za nyakati kwa muda muafaka.




Corona au covid19 ilihusikaje na uzinduzi wa albamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo ndo utakapo shangaa mtu kama mtoa mada bado anaishi halafu che guevara alifariki.😔😔😔
 
Back
Top Bottom