Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Hizo bei ni tiketi za (booking) ya mwezi august kati ya august 31 na sept 7 2018 muone nani anamsaidia mnyonge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Ndani sawa, lakini kwa nje na hiyo 787 mtaweza kumtimua mtu ili awaachie ruti?Fastjet wakijifanya wajanja tutawatimua Mwanza kama tulivyowatimua Kigoma
Tutawatimua AirRwanda wakibisha tunawapelekea majeshi pale Rusumo.Kwa Ndani sawa, lakini kwa nje na hiyo 787 mtaweza kumtimua mtu ili awaachie ruti?
Achana na matangazo uchwar ingia fanya booking uwelewe acha kujipambanua na ujinga wakofanyeni utafiti kabla ya kusemaView attachment 807476
Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Naona unaleta uzushi!! Pole sana.Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Wewe muda wote upo JF kazi hufanyi umekalia majungu!! Utapata wapi pesa ya kupanda Dreamliner??!!Naona unaleta uzushi!! Pole sana.
Haa haa. Mtiririko uko hivi:Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Kwanza ina maana Jini Kisiranii hajui maana ya neno kuanzia...? Hilo neno linamaanisha kwamba hiyo bei siyo ya mwisho bali ni ya mwanzoni na kuna uwezekano wa kuoengezeka!Achana na matangazo uchwar ingia fanya booking uwelewe acha kujipambanua na ujinga wako