Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
4,572
Reaction score
26,885
Screenshot_2018-07-11-18-52-14.png
Screenshot_2018-07-11-18-52-36.png

Hizo bei ni tiketi za (booking) ya mwezi august kati ya august 31 na sept 7 2018 muone nani anamsaidia mnyonge

Screenshot_2018-07-11-18-52-52.png
Screenshot_2018-07-11-18-53-04.png
...
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
 
sawa ila jitahidi kuwa muwz shekhe sijaona ktik hizo tiketi palipoandikwa mikoa hiyo ili tuamini kuwa hizo ndio ghrama halisi,pia hujatuwekea za atcl
 
AirTanzania inaoneka wana gharama zaidi, ila kwa nijuavyo mimi mfano una safari kesho kutwa ukabook tiketi leo basi gharama zinakuwa juu kidogo ila ni tofauti kama una safari wiki mbili au tatu zijazo uka book tiketi leo basi gharama itakua cheap kidogo ukilinganisha na mfano wa juu, Kama sikosei huwa wanaconsider number of booked tickets.
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
 
Utanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Haa haa. Mtiririko uko hivi:
1: Chadema kwenye ilani yake ina kipengele cha kufufua Air Tanzania
2. Magufuli aliposhinda akaifufua kwa kuanza kununua ''bombadia'' za bangaboi
3. Wakakejeli wakasema ndege za pangaboi zimepitwa na wakati ni zama za jet injini.
4. Ikanununua jet injini tena ya kisasa kabisa
5. Wakamisha magoli haooo wamekuja na mahesabu ya kulazimisha ya tiketi. Tena amechopoa siku tofauti na anajifanya hajui tofauti kati ya low cost airline kama FastJet na Full service kama ATC. Wamekodisha mpaka mtaalam mzungu amewapigia mahesabu ya ndege kuruka na kutoruka.
Na mwisho tumwelimishe kuwa bei ya tiketi ya ndege ina mambo kadhaa zaidi ya bei ya kununulia. Kwa mfano kuna mambo kama flexibility ya ku-cancel safari bila kupoteza fedha au kuongeza fedha nk.
 
Niliangalia taarifa ya habari ITV usiku ule wa tukio basi nikaangalia jinsi wale wanakijiji walivyokuwa wanashangilia nikabaki kusema "hiihiihihii"!

Hata baadhi yao pale nadhani ukiwaambia waandike kwa usahihi kwa tarakimu hiyo nauli hawajui ina sifuri ngapi.

Tuna safari ndefu sana.
 
Back
Top Bottom