Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa ivo ATCL imeshafufuka?2. Magufuli aliposhinda akaifufua kwa kuanza kununua ''bombadia'' za bangaboi
Wewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.Niliangalia taarifa ya habari ITV usiku ule wa tukio basi nikaangalia jinsi wale wanakijiji walivyokuwa wanashangilia nikabaki kusema "hiihiihihii"!
Hata baadhi yao pale nadhani ukiwaambia waandike kwa usahihi kwa tarakimu hiyo nauli hawajui ina sifuri ngapi.
Tuna safari ndefu sana.
Ndiyo kwa kuwa na ndege kama kitendea kazi hiyo moja ya njia ya kuifufua ATCL au unafikiri kuifufua ATCL mpaka wafanye nini??Kwa ivo ATCL imeshafufuka?
Kumbe mchakato bado unaendelea, hapo nimekuelewa!!Ndiyo kwa kuwa na ndege kama kitendea kazi hiyo moja ya njia ya kuifufua ATCL au unafikiri kuifufua ATCL mpaka wafanye nini??
Kwani huko nyuma si tulikuwa na ndege nyingi? Kilichofanya zitoweke ni nini? Unadhani ununuzi wa ndege PEKEE ndo kutaifufua ATCL?Ndiyo kwa kuwa na ndege kama kitendea kazi hiyo moja ya njia ya kuifufua ATCL au unafikiri kuifufua ATCL mpaka wafanye nini??
mweee!Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Wewe wasema!!Kwani huko nyuma si tulikuwa na ndege nyingi? Kilichofanya zitoweke ni nini? Unadhani ununuzi wa ndege PEKEE ndo kutaifufua ATCL?
Hao watalii toka nchi ganiWewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.
Ulaya na MarekaniHao watalii toka nchi gani
Shame on u!!kwa akili zako umeona kabisa kuwa na wewe ume shushua watu!!fanyeni utafiti kabla ya kusemaView attachment 807476
Kwa ndege zipi?Ulaya na Marekani
HahahahUtanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Subiri hukumbuki ulisema hatutaweza nunua Dreamliner imekuja sasa umebadirisha magoli?? Subiri sisi tunachapa kazi tu.Kwa ndege zipi?
Watapata shida sanaUtanyooka tu!! Ulisema hatuwezi kununua Boeing 787-8 Dreamliner imekuja sasa unahangaika na nauli huwezi panda punda!!
Bado nashindwa wenye makali wamefikiria kitu gani kuiweka hiyo Dream liner kwenye local services wakati hizo bomberdier hazina wateja wakutoshaEti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.
Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Sema kuwatimua hapa bongo kabisaFastjet wakijifanya wajanja tutawatimua Mwanza kama tulivyowatimua Kigoma
AtcHapo kwenye Air Tanzania unamzungumzia Dreamliner au wadogo zake Bombadear