Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Nani ana gharama zaidi? Fast jet ni shs 334,000-466,000 na Airtanzania ni shs 324,000- 664,000 kwenda Mwanza na kurudi

Niliangalia taarifa ya habari ITV usiku ule wa tukio basi nikaangalia jinsi wale wanakijiji walivyokuwa wanashangilia nikabaki kusema "hiihiihihii"!

Hata baadhi yao pale nadhani ukiwaambia waandike kwa usahihi kwa tarakimu hiyo nauli hawajui ina sifuri ngapi.

Tuna safari ndefu sana.
Wewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.
 
Ndiyo kwa kuwa na ndege kama kitendea kazi hiyo moja ya njia ya kuifufua ATCL au unafikiri kuifufua ATCL mpaka wafanye nini??
Kwani huko nyuma si tulikuwa na ndege nyingi? Kilichofanya zitoweke ni nini? Unadhani ununuzi wa ndege PEKEE ndo kutaifufua ATCL?
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
mweee!
 
Soko la tiketi za ndege liko tofauti sana, sio fixed. Ungeweka na tarehe kabisa ya fastjet ungekuwa umeonesha cha maana. Ndani ya mwezi mmoja, hao hao fastjet wanaweza badilika. Yategemeana na umekata lini na unategemea kurudi lini ma hiyo tiketi yako.
Weka tarehe za ndege zote mbili kwa tarehe moja ya kuondoka na kurudi ma siku uliyokata hiyo tiketi.
 
Wewe mbumbumbu wa uchumi yaani hata hao unaowaita wanakijiji wanakuzidi kufikiri kibiashara. Hujui kuwa ndege hizo zitaongeza uchumi wa nchi kupitia utalii pia ujuwe ndege hiyo itaongeza image ya nchi kidunia..!! Au unapinga tu kila kitu.
Hao watalii toka nchi gani
 
kama hamuwez kupanda dreamliner kapandeni fisi za bibi zenu. baadhi ya wa tz nawachukia sana. maana full malalamishi kila jambo
 
Eti Dreamliner ndio imekuja na nauli za kusaidia walalahoi kupanda ndege kwa route za Dar-Kilimanjaro-Mwanza kwa muda wa mwezi mmoja kuanzia July 29 mwaka huu.

Bombardier baadhi sijui itabidi zipaki maana hiyo ndio route yenye abiria wengi na sielewi watazihamishia wapi.
Bado nashindwa wenye makali wamefikiria kitu gani kuiweka hiyo Dream liner kwenye local services wakati hizo bomberdier hazina wateja wakutosha
 
Back
Top Bottom