Wewe elimu yako haiko poa unahitaji msaada hata wa kusoma QT uelewa historia..Psychology yako haiko powa mkuu una matatizo makubwa mno
Alafu ni wajanja sana wanachorwa chora hivyo ili matamanio yapungue
Kitu gani kinakufanya uamininkuwa hii historia ni ya kweli?Wewe elimu yako haiko poa unahitaji msaada hata wa kusoma QT uelewa historia..
Mimi naongea kitu real bila unafiki wala kupepesa macho..
Hata simu unayoitumia hapo bila wao ungekuwa unatuma njiwa ali afikishe ujumbe
Miaka niliyozaliwa tu kabla teknolojia haijakuwa nimeona watu vijijini wanavaa nini kwahio mimi naongea kitu nilichokiona....Kitu gani kinakufanya uamininkuwa hii historia ni ya kweli?
Hili kabila linaitwa BODI linapatikana nchi ya Ethiopia,wanajulikana sana kwa kuwa na matumbo makubwa,unywaji wa damu iliyochanganya na maziwa pamoja na nyama ya mafuta ya ngombe ndio inawafanya wawe hivyoMwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
View attachment 874238View attachment 874236View attachment 874237View attachment 874239
Nione jinsi vitumbua vyao vilivyononaIli ugundue nn eti
Nadhani hawa ndio niliowasoma sehemu kuwa wapo hiviMwonekano wao kwa baadhi ya watu ni kama huu hapa chini
View attachment 874238View attachment 874236View attachment 874237View attachment 874239
Hivo vi dushe havijakusisimua kwani ?[emoji23]Msisimko unakuta mtu akivua nguo sasa hapo kuna msisimko gani?
Nimecheka sana dadeq[emoji23]
Kibamia cha LE MUTUZ ulipokiona ni kidogo kiasi gani vile....!?Vitambi kama kaka Lemutuz,sema wenzake hawana vibamia kama chakwake
Ukitaka kujua ni kweli siku nenda pale mikumi kwenye kundi la wanyama simba vua nguo zote alafu wakimbilie wale simba uone watakavyotoka nduki.LEO NDIO NIMEJUA KUWA BINADAM NDIO KIUMBE KINACHOTISHA AKIWA UCHI....NGUO ZINATUSITIR SANA
Hiyo ya unywaji damu ilochanganywa na maziwa mtindi umenikumbusha kipindi nilipata jando nilikunywa sana huo mchanganyikoHili kabila linaitwa BODI linapatikana nchi ya Ethiopia,wanajulikana sana kwa kuwa na matumbo makubwa,unywaji wa damu iliyochanganya na maziwa pamoja na nyama ya mafuta ya ngombe ndio inawafanya wawe hivyo
Hakuna kuwasogelea ni cheche tu hahahaNimecheka sana dadeq[emoji23]
Na hilo pozi[emoji23]Hakuna kuwasogelea ni cheche tu hahaha