kaka we si ulisema hutumii 100k kwa mwezi, hii gimbal sio chini ya 400kInakushinda nn? Ninayo kabla sijaamia DJI.
Hahaha nilitakaga kujaribu mishe flani za content creator zikanishinda. Ndio kifaa nilichobaki nacho ahhahakaka we si ulisema hutumii 100k kwa mwezi, hii gimbal sio chini ya 400k
kidogo niitishe kikao Cha uchunguzi, maana hata raisi wako sija wahi kufikiri kumiliki hivyo vitu.Hahaha nilitakaga kujaribu mishe flani za content creator zikanishinda. Ndio kifaa nilichobaki nacho ahhaha
Aisee wakishua nyinyi, mki kwama mna omba dady pesa.Sikutoa hela nilinuniliwa mkuu
Kwa ushauri, fanya mazoezi tu anza na shots za kawaida achana na AI features zao. Nashauri anza na hizi shots kama unafanya contents za nje:Mkuu inanishinda pakubwa tu kubalance simu haswa kwenye potrait mode na pia app yao sijaielewa bado
tafuta za wahindi, uanze basic instructions.Nimejaribu kuchek ila bado sijaielewa poa