Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Acha tu aisee 🤣.Hata kama ni coincidence hii hapana.. hakunaga coincidence za hivi
Wako hapa hapa hakuna cha nje ya nchi. Mechi imsshakuwa ngumuNimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.
Pussy ass ni&&as.
Kwa hiyo wamejificha?Wako hapa hapa hakuna cha nje ya nchi. Mechi imsshakuwa ngumu
I dont say wamejificha, but as i predicted hawatokanyaga kizimbaKwa hiyo wamejificha?
Mmeanza wa kutumwa kuteteaCDF yupo South Africa ziara ya kikazi na kaondoka juzi.
Kwa nini? Wanaogopa nini?I dont say wamejificha, but as i predicted hawatokanyaga kizimba
Kuna picha zake akiwa huko?CDF yupo South Africa ziara ya kikazi na kaondoka juzi.
Kwa nini aondoke wakati ana soumans ya mahakama??CDF yupo South Africa ziara ya kikazi na kaondoka juzi.
Komredi heri ya mwaka mpya na heri ya sikukuu zote zilizopita mwaka huu.... Looong time!Nimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.
Pussy ass ni&&as.
Amini Mungu pekee gentleman, acha ushirikina na kuabudu masanamu plzNimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.
Nimeishia kucheka tu kwa kweli.

Amini Mungu pekee gentleman, acha ushirikina na kuabudu masanamu plz
Kila unachofanya utajikuta unakosea🤣AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Ni uongo, mbona hakuna taarifa kwa umma?CDF yupo South Africa ziara ya kikazi na kaondoka juzi.
Uhamiaji pia wathibitishe hilo...Natamani huyo aliyesema hawapo wamesafiri nje ya nchi aje kutoa uthibitisho usio na shaka kwamba walisafiri.