Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Kwani hawawezi kufoji nchi hii?Ndio maana nikasema ushahidi usio na shaka. Kama ambavyo bank statement ililetwa, uthibitisho wa safari nje ya nchi uletwe.
Kwani hawawezi kufoji nchi hii?Ndio maana nikasema ushahidi usio na shaka. Kama ambavyo bank statement ililetwa, uthibitisho wa safari nje ya nchi uletwe.
Inawezekana kabisa, kwa watu wanaodanganya kwenye uchaguzi, hili linawezekana. Wanatakiwa wafoji vizuri maanake watu watafuatilia trails zote kuthibitisha hizo taarifa zitakazotoleqa mahakamani.Kwani hawawezi kufoji nchi hii?
Waaleikhum salaam sheikh wangu?Salamaleko
Hawa kenge nao wamekimbia nchiNimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.
Umefanya jambo jema. Sasa nenda kabishane na wale wa aina yako. Sema nakushauri tu uachane na hiyo tabia. Utazidi kuharibika....Sijibizani na wapumbavu! Ova!
Nilistaafu two years agoWaaleikhum salaam sheikh wangu?
Ile kazi yetu mi nshastaafu. Nimeamua kukuachia wewe maana bado uko na nguvu bado....
Dah hahahahaa!Nilistaafu two years ago
Nafuga tu siku hizi
Sivuki fence kabisa
KabisaDah hahahahaa!
Muda wa kuwa wazee wa kanisa na wafadhili wa kwaya umefika sasa....
Tuwaachie madogo wahangaike na smartphone zao.... Hawajui kabisa kuvuka fensi za michongoma
Kwa hiyo wana siasa wamewasakizia wana Usalama wetu vitu vya hovyoAu aulizwe alipata division ngapi form 4 na baada ya hapo alienda kozi gani...yaani haya maswali Kwa mkuu WA majeshi itakuwa fedhea sana
Aibu Sana Kwa CDF kujibu maswali ya elimu yakeKwa hiyo wana siasa wamewasakizia wana Usalama wetu vitu vya hovyo