Gentleman nani kakwambia viongozi waandamizi wamemkimbia Lisu hivi unadhani hata wanajua kuna kesi? Yaani waache kufanya mambo ya msingi wafuatilie kesi ya mtu aliyejitakia mwenyewe?🐒Nimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haramu wamekula kona 🏃♂️ 🤣.
Kimeumana mkuu vibaya sanaNimeishia kucheka tu kwa kweli.
Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!
AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.
Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.
He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.
Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.
This is too funny!
Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?
Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?
Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?
Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?
Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?
Wanarudi lini?
Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?
Maafande haula kona 🏃♂️ 🤣.
Fafafnua...Sijaelewa..Delays hizi ni extension ya torture tu
Hahahahaha....Sio poa mazee, si ajabu wakafake kifo 😂💔
We fala nini... Kwani hujafuatilia Kessi ya Lissu leo.. Katuga amesema wote wamepata Safari nje ya nchi...Wewe kama uko well informed ungetueleza wako wapi. Kuishi Ulaya halafu unaongea umbeya wa Manzese kwa Mfuga Mbwa na ni mwanaume inatia kinyaa kidogo!
HahahahahahahahMsafara wa IGP umenipita Kijitonyama
Sijibizani na wapumbavu! Ova!Sio kosa lako....
Wazazi wengi wanakosea sana kulea watoto wao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao...
Sasa umri wangu huu unategemea ntaelewa nini maana ya hilo neno poyoyo?
Kama ni matusi basi mi nimekusamehe na namwomba Mungu akusamehe pia.
Kama hujanielewa nilichoandika, sio kosa lako. Ni langu.We fala nini... Kwani hujafuatilia Kessi ya Lissu leo.. Katuga amesema wote wamepata Safari nje ya nchi...
SalamalekoAisee we chalii upo?
Huu uzi hatimaye nimewasoma tena ma-Legends wawili...
Yote haya kwa hisani ya Tundu Lissu
Mungu yu mwema wakati wote
Lissu anaweza kuomba uthibitisho mahakamaniNatamani huyo aliyesema hawapo wamesafiri nje ya nchi aje kutoa uthibitisho usio na shaka kwamba walisafiri.
Kama watatokeaLissu anaweza kuomba uthibitisho mahakamani
Ajiandae kukaa mahabusu maana kuwapata hao jamaa sio rahisi , wanaweza kwenda kwa kuchelewa sana… Kingai atakuwa wa kwanza maana yeye mahakama ni nyumbani kwakeKama watatokea
Sky Eclat toka huko ulipojificha umtetee mtu wako.Sio kosa lako....
Wazazi wengi wanakosea sana kulea watoto wao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao...
Sasa umri wangu huu unategemea ntaelewa nini maana ya hilo neno poyoyo?
Kama ni matusi basi mi nimekusamehe na namwomba Mungu akusamehe pia.
Amini amini nakwambia, kama ambavyo huyo jamaa mahakama ni nyumbani kwake, TAL mahabusu pia ni nyumbani kwake, na mahakamani sio mgeni sana, sheria ndio eneo alilobobea.Ajiandae kukaa mahabusu maana kuwapata hao jamaa sio rahisi , wanaweza kwenda kwa kuchelewa sana… Kingai atakuwa wa kwanza maana yeye mahakama ni nyumbani kwake