Nani anaamini hawa wote wako nje ya nchi? 😂

Nani anaamini hawa wote wako nje ya nchi? 😂

Aliyesema wako nje ya nchi ni mleta mada au Msajili wa Mahakama?

Au Msajili naye yuko nje ya nchi?
Ona huyu! Hata haelewi context anajifanya mjuaji!

Mtoa post kahoji kama kweli wapo nje ya nchi. Mi nikamwambia, kwanini asithibitishe badala ya kuleta umbeya wa Manzese kwa Mfuga Mbwa wakati jamaa anadai yupo majuu?

Umeelewa sasa au wewe ni kichwa poyoyo?
 
Nimekuelewa.. ili subject aweze ku break down na "kuomba yaishe".. sema ccm hawakutegemea kama lissu angekuwa tough hivi ukilinganisha na kesi ile ya Mbowe
Hakuna binadamu asiye na break point yake

Never

Hata Yesu alilia
 
Nimeishia kucheka tu kwa kweli.

Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!

AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.

Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.

He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.

Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.

This is too funny!

Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?

Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?

Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?

Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?

Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?

Wanarudi lini?

Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?

Maafande haramu wamekula kona 🏃‍♂️ 🤣.
Huo nao ni uhuni kama ule wa kwenye chaguzi!/chafuzi
 
Ona huyu! Hata haelewi context anajifanya mjuaji!

Mtoa post kahoji kama kweli wapo nje ya nchi. Mi nikamwambia, kwanini asithibitishe badala ya kuleta umbeya wa Manzese kwa Mfuga Mbwa wakati jamaa anadai yupo majuu?

Umeelewa sasa au wewe ni kichwa poyoyo?
Sio kosa lako....

Wazazi wengi wanakosea sana kulea watoto wao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao...

Sasa umri wangu huu unategemea ntaelewa nini maana ya hilo neno poyoyo?

Kama ni matusi basi mi nimekusamehe na namwomba Mungu akusamehe pia.
 
Kama CDF anaogopa haki kutendeka mahakamani anapata wapi moral authority ya kuendelea kuwa kamanda wa vikosi vyetu vya ulinzi na usalama?.

Akikwepa kuisaidia mahakama ili haki ipatikane maana yake ni kuwa yeye ni mtu wa dhulma, siyo mtu wa haki na atakuwa hafai kuendelea kuwa katika nafasi hiyo!
 
Nimeishia kucheka tu kwa kweli.

Yaani hao jamaa wamemkimbia Lissu? Hahahaa dah!

AMA kweli Lissu ni moto wa kuotea mbali.

Niseme tu ukweli kuwa hao maafande Lissu kawaacha mbali sana kiakili.

He will eat them for breakfast, lunch, dinner, brunch, and any other kind of meal you can think of 🤣.

Sina ushahidi lakini nasita kuamini kuwa hawa askari wa Samia eti wote wako nje ya nchi kwa wakati mmoja tena ambapo walitakiwa waende mahakamani kama mashahidi.

This is too funny!

Hawa jamaa waliondoka lini kwenda nje ya nchi?

Wameenda wapi na wameenda kufanya nini?

Walienda huko nje ya nchi kwa kutumia usafiri gani? Wa anga? Wa majini? Wa ardhini?

Au walitumia usafiri mbadala [read: waliruka kwa ungo 😂]?

Sawa, tuseme kweli wapo nje ya nchi…..wameenda huko kikazi au kwa mambo binafsi?

Wanarudi lini?

Kwani wakirudi hawawezi tena kuitwa mahakamani?

Maafande haramu wamekula kona 🏃‍♂️ 🤣.
Mahakamani kuna usanii sana.
Can you imagine Heche anakataa clip aliyoongea mwenyewe redioni?
Hakuna la ajabu kuambiwa wajeda hao wote wako nje ya nchi
 
Wangeifuta tu hiyo kesi hao hakuna anaeweza kukaa na kuulizwa maswali na Lisu harafu isiwe kicheko kwa Wananchi..
Pata picha yule jenerali Mkunda anahojiwa na Lissu 😂.

Yaani jamaa kichwani ni mweupe kabisa.

Yaani ni bora tu hajaenda huko mahakamani maana angeaibika sana.
 
CDF yupo South Africa ziara ya kikazi na kaondoka juzi.
Kaenda South kufanya nini huku akijua anahitajika mahakamani kama shahidi muhimu? Jeshi la SADC lililoshindwa vita kule Goma si liko pale Chato? Mahakama ikaze tu jamaa wakatoe ushahidi mahakamani.😡
 
Back
Top Bottom