Nani anaamini hawa wote wako nje ya nchi? πŸ˜‚

Hao Wajinga walidhani kushitaki mtu kwa uhaini ni jambo jepesi kulithibitisha.
 


Maswali mengi Msajili wa Mahakama Kuu ameyafuta na kujaribu kuficha
W5 = Who, What, Where, When, Why
 
Hao Wajinga walidhani kushitaki mtu kwa uhaini ni jambo jepesi kulithibitisha.
Naamini kabisa huko ndani kwa ndani kuna mivutano juu ya hii kesi..

Kuna ambao wanaona hii kesi ni kujiabisha kwani ni kesi ya kubumba, kibaya zaidi aliyebumbiwa kesi anaelewa sheria vyema na ana akili nyingi...

Hata hili suala la hao wakubwa wa vyombo vya usalama kutofika mahakamani naamini kuna mivutano ipo, lakini hata wao wamekomaa wasitokee kwenye hio kesi, maana ni kwenda kuaibika... Lakini kuna ambao wamewalazimisha waende na wameona wale kona hamna namna...

Mtu mzima na manyota yako begani, cheo kikubwa unanyenyekewa halafu unakwenda kupelekeshwa kwa maswali hadi kigugumizi kinakupata ni aibu sana... wameona watokomee kusikojulikana...
 
Wewe kama uko well informed ungetueleza wako wapi. Kuishi Ulaya halafu unaongea umbeya wa Manzese kwa Mfuga Mbwa na ni mwanaume inatia kinyaa kidogo!
 
Msafara wa IGP umenipita Kijitonyama
 
Imagine yule Manyota mwenye domo zege alivyo mzito akipigwa maswali ya kimkakakati.
 
Mkuu w
Yalienda lini na wapi
Nani atoe kibali cha wagogo wote watatu kwa wakati mmoja kuondoka nchini?
Natamani huko yalipo yafie ndani au yapate ajali hata ya kudondoka tu ghafla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…