Nani anaamini hawa wote wako nje ya nchi? 😂

Wanaujua uwezo wao mdogo wa akili ulivyo, na wanajua jinsi Lisu alivyowazidi uwezo wa akili na uadilifu. Wametafuta njia ya kuficha uwezo wao mdogo wa akili na uhayawani wao katika kubambikia watu kesi na katika kuua wananchi.
 
Gentleman nani kakwambia viongozi waandamizi wamemkimbia Lisu hivi unadhani hata wanajua kuna kesi? Yaani waache kufanya mambo ya msingi wafuatilie kesi ya mtu aliyejitakia mwenyewe?🐒
 
Kimeumana mkuu vibaya sana
 
Hivi CDF yule mabaye kuna hotuba alishindwa kusoma kwa ufasaha ndo aende akakumbane na Mh Lissu... Wanahaki ya kukimbia nchi..
 
Wewe kama uko well informed ungetueleza wako wapi. Kuishi Ulaya halafu unaongea umbeya wa Manzese kwa Mfuga Mbwa na ni mwanaume inatia kinyaa kidogo!
We fala nini... Kwani hujafuatilia Kessi ya Lissu leo.. Katuga amesema wote wamepata Safari nje ya nchi...
 
Sio kosa lako....

Wazazi wengi wanakosea sana kulea watoto wao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao...

Sasa umri wangu huu unategemea ntaelewa nini maana ya hilo neno poyoyo?

Kama ni matusi basi mi nimekusamehe na namwomba Mungu akusamehe pia.
Sijibizani na wapumbavu! Ova!
 
Hata hapo kisimkazi ni ughaibuni yakhe! Au zanzibar siyo nje ya nchi?
Wapo kwenye kikao kizito sana chini ya propesa wa majallani na huenda ijumaa dpp akamwaga unga!
 
Sio kosa lako....

Wazazi wengi wanakosea sana kulea watoto wao tangu wakiwa tumboni mwa mama zao...

Sasa umri wangu huu unategemea ntaelewa nini maana ya hilo neno poyoyo?

Kama ni matusi basi mi nimekusamehe na namwomba Mungu akusamehe pia.
Sky Eclat toka huko ulipojificha umtetee mtu wako.
 
Ajiandae kukaa mahabusu maana kuwapata hao jamaa sio rahisi , wanaweza kwenda kwa kuchelewa sana… Kingai atakuwa wa kwanza maana yeye mahakama ni nyumbani kwake
Amini amini nakwambia, kama ambavyo huyo jamaa mahakama ni nyumbani kwake, TAL mahabusu pia ni nyumbani kwake, na mahakamani sio mgeni sana, sheria ndio eneo alilobobea.

Zingatia jaji alishatoa mwongozo ndani ya siku 14 kesi iwe imeisha.

Wasipotokea mahakamani, itakua wamegomea muhimili huu muhimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…