Nani anaamini hawa wote wako nje ya nchi? πŸ˜‚

Kwani hawawezi kufoji nchi hii?
Inawezekana kabisa, kwa watu wanaodanganya kwenye uchaguzi, hili linawezekana. Wanatakiwa wafoji vizuri maanake watu watafuatilia trails zote kuthibitisha hizo taarifa zitakazotoleqa mahakamani.

Tena TAL atoe na ile taarifa za I wish I kudu be IGPs na BoT bonds.
 
Wameogopa kudhalilika, kuulizwa maswali na yule jamaa sio poa jasho la meno lazima likutoke
 
Hawa kenge nao wamekimbia nchi
 
Nilistaafu two years ago

Nafuga tu siku hizi

Sivuki fence kabisa
Dah hahahahaa!

Muda wa kuwa wazee wa kanisa na wafadhili wa kwaya umefika sasa....

Tuwaachie madogo wahangaike na smartphone zao.... Hawajui kabisa kuvuka fensi za michongoma
 
Dah hahahahaa!

Muda wa kuwa wazee wa kanisa na wafadhili wa kwaya umefika sasa....

Tuwaachie madogo wahangaike na smartphone zao.... Hawajui kabisa kuvuka fensi za michongoma
Kabisa

Tuko machweo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…