Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

Mh. Balozi Dk. Bashiru Ally Kakurwa
Sawa! Ni mtu sahihi, ila lazima makamu wa Rais awe mtu mtiifu sana kwa Rais wa nchi. Rais wa nchi bila kujali chochote ikiwa ni pamoja na madhaifu km binadamu aheshimiwe, tumtii siyo kwa kuwa Samia, ni kwa kuwa ni alama ya nchi yetu.
Rais anabeba maisha ya watanzania, tusipomwona hata kwa wiki tunaanza kujiuliza. Tena Rais aweke utaratibu wa kuongea na wananchi kila mwisho wa mwezi.
Dr. Bashiru shida niyaiona ni dini yake, mambo haya yako very sensitive.
Kwa mtazamo wangu mtu namba moja ni John Mongela, akifuatiwa na Prof. Kabudi, Dotto Biteko.
Rais awe makini sana safari hii ifanyike vetting ya ukweli kuhusu historia ya mhusika, uzalendo.
 
Kuwa na tamaa ni jambo moja na kuificha tamaa ni jambo jingine!
 

GSM ndiyo anafanya vetting???
 
Katika kosa lililo wahi kufanywa na CCM ni kumtoa Rais kanda ya ziwa!
Hawawezi kurudia tena hilo kosa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…