Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

Huyu huyu aliyeondolewa Ukatibu mkuu na kupewa ubunge wa ofa?
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.

Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Unazungumzia kufaa?Unaelewa nini maana ya kufaa katika utawala huu? Achana na hizi mambo, wachague yoyote anayetakiwa si suala la kufaa kwa kuwa anateuliwa na Mamlaka, hizo nyingine ni procedures.
 
Funzo kubwa ambalo limepatikana hapa ni kwamba,unapokuwa rais wa nchi,uwe makini sana kuchagua makamu wako,usifanye makosa aliyofanya ruto kumchagua gashagua,na makosa aliyofanya samia kumchagua nchimbi.Siku zote ukiwa rais chagua makamu wako ambae sifa zake ni 2 tu: 1 awe mtu wa kusema yes na hewala
2.awe ni mtu asiye na tamaa yoyote ile
Kama alivyofanya kwa Mpango.
Obama alimchagua Joe Bidden ambaye hakuwa na charisma kuliko Obama, Bidden akamchagua Kamala ambaye hakuwa na Charisma kuliko Bidden.

Huyu yeye alijilipua tu kumchagua mtu ambaye alikuwa na Charisma na ushawishi mkubwa kuliko yeye. Matokeo yake ikatokea ' PERCIEVED' power Struggle.
 
Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi.

Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Mimi nafaa, maana moto nitakao upeleka hautakua wa dunia hii , ndani ya siku 60 mchakato wa katiba lazima kuanza , wateule vilaza wote lazima ondoka , hapa ni ushawishi tu nitampa kiongozi alie juu yangu.
 
Back
Top Bottom