Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
HAKUNA ANAYEFAA UTAWALA WOTE NI DHALIMU NA UMEINGIA MADARAKANI KWA MITUTU YA BUNDUKI NA MAUAJI YA WATANZANIA WASIO NA HATIA. HATA RASI ANAPASWA KUONDOKA
Hata akimuweka hakuna chakumfanyaAlivyokua kiburi kwa kushirikiana na mkwele utashangaa anawekwa mzanzibar makame mbarawa ili apime hasira zetu tuta mkeketa
ASHA ROSE MIGIRO 🙏😝kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Badala ya kuomboleza haki za Watanzania kukandamizwa unashobokea chawa gani wa Samia atamrithi? Watanzania tuna ugonjwa wa kufisha akilikufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais John Nchimbi.
Je nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
Car-tombweBadala ya kuomboleza haki za Watanzania kukandamizwa unashobokea chawa gani wa Samia atamrithi? Watanzania tuna ugonjwa wa kufisha akili
Huyu ni mtu poa sana.
Sasa shida ni tayar mfumo umemkataa.
Nafasi itaenda kwa mwingne
Kamng'atua kwenye baraza juzi tu hapa
Yes gentleman,
Kwa sababu wewe tayari?Car-tombwe
Umeshameza dawa za kushusha Kisukari?.Yes gentleman,
what can I help you?🐒
uko mtibwa sio gentleman?🐒Umeshameza dawa za kushusha Kisukari?.
If you can't help yourself, could you help me?Yes gentleman,
what can I help you?🐒
relax then gentleman, avoid distabing JF members with no reasons 🐒If you can't help yourself, could you help me?
Hakuna kifungu ni utaratibu waliojiwekea imekuwa kama sheria kwa sasaKumbe ni lazima awe mkatoliki? Nipe ni kifingu gani cha Katiba kinataka awe mkatoliki?
Biteko au bashe!Abdul
Pole sana Mkuu.uko mtibwa sio gentleman?🐒