Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

Pole sana Mkuu.

Sasa Kipenz chako ametemwa, je utaendelea kumsifu aliyemtema?.

Bado zile Mama ametosha zitakuwepo?.
Gentleman,
mimi ni kipenzi cha waTanzania wote kama ilivyo kwa viongozi wote wa chama na serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan.

As a country,
we are currently more united, more powerful and more stronger than before 🐒
 
Usipanic mkuu.

Na usijipe umuhimu.
Ww hata hapo kwenu huna Umuhimu.

Mm nimeuliza Kipenz chako Nchimbi ametemwa. Je utaendelea kumsifia aliyemtema?.
 
Usipanic mkuu.

Na usijipe umuhimu.
Ww hata hapo kwenu huna Umuhimu.

Mm nimeuliza Kipenz chako Nchimbi ametemwa. Je utaendelea kumsifia aliyemtema?.
gentleman,
nchi hii ni yetu sote ni vizuri kuelewa hili.

mtu akifanya kazi nzuri kwa maslahi mapana ya taifa ni muhimu sana akapongezwa na kusifiwa ili afanye vizuri zaidi mbeleni.

hili nalo ni la kukera mtu gentleman?🐒
 
Alivyokua kiburi kwa kushirikiana na mkwele utashangaa anawekwa mzanzibar makame mbarawa ili apime hasira zetu tuta mkeketa
Kwa Katiba hii anaweza kuwateuwa wakuu wa kila sehemu, mikoa , Mawaziri wote, vyombo vya dola, toka Zanzibar na bado mtashingilia na hamna cha kumfanya wala kuhoji.
 
Kwenye hii game jina la Rizmoko msilitoe. Ni either awe wapili moja kwa moja au rais wa mawe apande kisha rizmoko achukue hiyo nafasi yake.

Yote hii itategemea Mr. Smile anataka nini kwa wakati huu lakini ultimate goal yake ni kuirudisha familia yake magogoni.
 
Back
Top Bottom