Nani anafaa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA baada ya Viongozi kutimuliwa?

Upendo Peneza
 
Suzana Kiwanga (mwenyekiti)
Catherine Ruge (Katibu)
Upendo Peneza(Katibu msaidizi)
Miss Komba
Devonja Minja
Hilda Newton
Wanafaa kuongoza Bavicha
 
Kabla ya kufikiria nani anafaa kuongoza BAWACHA, lijalo linafurahisha.
 
Sure! CDM inapaswa kuanza kuwawinda wasaliti ndani ya chama na kuwatimua,BAWACHA ni lazima iwe chini ya uangalizi kwa sasa ili kuondoa ushenzi wa hawa watu.
 
Sio kwa Afrika yetu hii..... CUF walifanya hili kosa kutoweka mwenyekiti na kuwa chini ya baraza la uongozi.

What happened kila mtu anafahamu.... Ucje shangaa siku Mdee anarudi na kudai ni mwenyekiti halali wa BAWACHA na mahakama ikamlinda.

Na kma hawakuweka replacement ndio mgogoro ule wa CUF utahamia CHADEMA rasmi.
 
Yule mama wa chato kajitoa sana anastahili recognition ya kitaifa.

Upendo kma bado yupo Loyal awe promoted ili wamretain

Kuna cathy Ruge (Uzoefu na Msomi)

Suzan kolimba (Too Loyal)

Aisha Madogga (Hyu kipanga haswaa)

Kiufupi CHADEMA ina hazina kubwa kma ambavyo hakuna aliyemfahamu Kishoa au Mdee kabla hawajaibuliwa na Mbowe. Then watakuja wapya na kuendeleza moto wa BAWACHA
 
Principles over individualistic leaders.

Everyday of the week......
 
Mkuu kama Mdee yadaiwa kugeuka msaliti labda atafutwe malaika ambae hatuna uwezo wa kumteua.Labda tatizo lipo ndani ya uongozi wa juu kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…