Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZITTO KABWEKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Akinamama kama jenister muhagama wale shule hamna kabisa wapiga domo tu...ila watawaniaMzanzibar yeyote tu fresh!
Mzanzibar awekwe naunga mkonoMzanzibar yeyote tu fresh!
Kufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
January MaropeKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?
Ila kwa sasa itakuwa ngumu.Ni zamu ya mzanzibari kuwa speaker wa bunge sasa, haijawahi kutokea mzanzibari kushika nafasi hio, wakati ni huu
Polepole au bashiruKufuatia kujiuzulu kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai leo hii, kiti cha Spika kipo wazi. Je nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge letu?