Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Mimi napempendekeza Andrew Chenge. Sababu zangu ni hizi
nimezitoa kwenye bandiko hili
Chenge atamfunika SSH, kile kichwa kinajua kucheza na jamii..Labda SSH amwombe kuwa naomba unibebe kuelekea 2025.
No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P
 
Mimi napempendekeza Andrew Chenge. Sababu zangu ni hizi
nimezitoa kwenye bandiko hili

No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P

04da45fc-ca25-48ce-9f66-eca6bedd4b3b.jpg
 
Wasomi wa Sheria Bungeni ambao mara nyingi wanamudu Uspika ni;
Nyoka Makengeza
Riz onne
Lugola
Tulia
.....
......
 
Bunge ni chombo uhuru sijaona kama Spika mpya atakuwa uhuru kufanya kazi yake ipasavyo
 
Mimi napempendekeza Andrew Chenge. Sababu zangu ni hizi
nimezitoa kwenye bandiko hili

No... hatamfunika, it's the other way around, baada ya Mama kuanza to show her true colors na kukunjua makucha, her weaknesses pia are now visible with plain eyes, hivyo kiukweli kabisa, Mama anahitaji kusaidiwa seriously ili aweze, Dr. Tulia hawezi kumsaidia but Chenge can!. Tumeona madhara ya a compromised perliament, Chenge sio a compromising man kwenye vitu vya kijinga jinga, hivyo atamsaidia sana Mama, kulisaidia Bunge lisipitishe sheria za ajabu ajabu na kulisaidia Taifa.
P
Tunaendelea kuwapendekeza wazee baada ya kutafuta damu changa ili ziweze kusukuma gurudumu hili. Wazee mda wao imekwisha Ila kipindi cha magufuli alikuepo anawaibua vijana .
 
Back
Top Bottom