Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Huu si ndio upuuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kihenzile mweke pembeni kabisa, ni mtu wa kuyumbishwa. Cheo Cha DAS HUko Arusha hakuperform vyema, bado hajakwiva
 
Sgang bado mnahamu ya kutuvurugia taifa eehh.
Watu wenye dhana au concept ya gangs ni watu waliofirisika kimawazo na wanatumika na waliotoa uhai wa Rais wetu mpendwa kumdhalilisha.Hawa ni makuadi wa mabeberu,na ni lazima Watanzania wawaogope kama ukoma,hawana nia njema na nchi yetu kabisa.
 
Nireteeen Gwajimaaaaaa
 
Hii list wote hapa ni wazee ki umri sijui kwanini vijana hamachangamkiii hizo fursa
 

Wazanzibari wachukue hiki kiti. Angechukua mama mwenyewe, mtoto, mkwe, mpwa, binamu nk ingemsaidia kumaliza fukuto lote la 2025.
 
Halima mdee anafaa japo umemsahau kwenye list
 
Aisee anayefaa ni Robert Kisinini tu. Hebu mcheki hapa, kuanzia 0:45
 
Ww ni mwakyembe nn mbona unarudia rudia jina lako ? Kama ni ww wala haufai

Mwakyembe anajipigia promo!! Huyo Hafai kabisa Ndio maana Kyela walimtosa. Hiyo nafasi ingemfaa Andrew Chenge.
Hapo anahitajika kwa wakati huu mtu anaejiamini na ambae hawezi kuyumbishwa; Chenge has those qualifications.
 
Edit No. 6 na No. 10.
 
11. Kassim Majaliwa

12. Mark Mwandosya

13. Joseph Butiku

14. David Kafulila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…