Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoto za mchanaJob Ndugai atachukua fomu ya Uspika na atachaguliwa kwa Mara nyingine kuwa Spika wa JMT
Kihenzile mweke pembeni kabisa, ni mtu wa kuyumbishwa. Cheo Cha DAS HUko Arusha hakuperform vyema, bado hajakwivaKama Mama aliona shida kubwa ya Ndugai ni race ya 2025, basi itakua hivyo pia kwa kiongozi yoyote wa muhimili kutoka kwenye Generation ya kina Ndugai, kulewa kiti na kuanza kuuwazia uRais 2025....Damu changa inahitajika kuongoza mhimili huu kwa sasa hivyo kwangu ni:
1. David Kihenzile - ni Mwenyekiti wa Bunge wa sasa pekee kijana, energetic , very smart upstairs na mtulivu sana na hana papara. Atasaidia kuzalisha mhimili wenye maisha mapya.
2. Steven Masele - Kijana mwenye exposure nzuri ya Bunge East Africa, brilliant indeed, mtulivu na hana papara. He can help run the seat well.
3. Andrew Chenge - He is out of race, na hatokua na ligi za kijinga za kisiasa, atasaidia tu kusogeza muda bunge liende salama na kuleta utulivu.
4. Dr. Emmanuel Nchimbi - Man of Good politics, ili bunge lisiwe na matabaka anaweza saidia kurudisha umoja wa mhimili, japo atafanya siasa zake zaidi za uRais kuliko uspika atakaopata.
Watu wenye dhana au concept ya gangs ni watu waliofirisika kimawazo na wanatumika na waliotoa uhai wa Rais wetu mpendwa kumdhalilisha.Hawa ni makuadi wa mabeberu,na ni lazima Watanzania wawaogope kama ukoma,hawana nia njema na nchi yetu kabisa.Sgang bado mnahamu ya kutuvurugia taifa eehh.
Usihusishe bangi na mambo ya hovyo wewee?!Mleta mada bila shaka anavuta bangi
Hata asiekuwa mbunge inawezekanaKatiba inasema speaker lazima awe mbunge,sasa mbona umewaweka wasio wabunge kwenye orodha yako?
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Weka pembeni wanawake sioTulia hapana.
hawa wanawake watatupanda kicwani sana..
Hata makinda naye alibebwa-bebwa tu kihuni kung'oa sitta.
Hii list wote hapa ni wazee ki umri sijui kwanini vijana hamachangamkiii hizo fursaNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Au Dr. Josephat GwajimaTUNAMTAKA DR.MSUKUMAView attachment 2072342
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Halima mdee anafaa japo umemsahau kwenye listNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Aisee anayefaa ni Robert Kisinini tu. Hebu mcheki hapa, kuanzia 0:45Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Ww ni mwakyembe nn mbona unarudia rudia jina lako ? Kama ni ww wala haufai
Edit No. 6 na No. 10.Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
11. Kassim MajaliwaNdugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.
1. Tulia Ackson
2. Andrew John Chenge
3. Abdurahman Omari Kinana
4. Mussa Azan Zungu
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Dr Harrison Mwakyembe
7. Jenister Joachim Mhagama
8. David Mwakiposa Kihenzile
9. Stephen Masatu Wassira
10. Dr Harrison Mwakyembe
Mkuu, kwenye orodha yako umeshindwa kuongeza Nina LA Dr. Emmanuel Nchimbi?.
Kinana muacheni akafanye biashara zake za pembe za ndovu!!!K-NANA