Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?


Ndio maana unamuhitaji spika anayejiamini na aliyejitosheleza kama Andrew Chenge!!! Hana sababu ya kuwa chawa wa mtu!!
 
Uliye mtajax2 ndiye anafaa kama Mh Naibu Spika mumeona hastahili hiyo nafasi.
 
 
Na MIMI HAPA
 
kama sio mtemi chenge basi atakua kihenzile, wait and see.
 
Nashauri apewe mhuni Pole amalizie wahuni wenzake
 
'Tanzania haijawa tayari kuongozwa na mwanamke'-bashiru Ali.
 
Profesa Tundu Lissu hiyo nafasi inamfaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ambaye ni mkulima nilishazoea maisha haya, tatizo ni kwa hao waliokuwa wanalia kivulini kwenye awamu ya 5, sasa wanaumia kuona wengine ndio wanakula, wakati wao utamu umekatishwa ghafla!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…