Kwa Katiba hii yeyote atakayekuwa spika bado atakuwa chawa wa Rais tu,mkumbuke Chief Hangaya yupo madarakani kwa miaka mitano kama Makamu na mwaka mmoja kama Rais, ameshanogewa na matumizi mabaya ya madaraka aliyorithi kwa mtangulizi wake. Rais ataendeleza staili ile ile ya kuliweka Bunge mfukoni ili atawale kiulaini.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ndio maana unamuhitaji spika anayejiamini na aliyejitosheleza kama Andrew Chenge!!! Hana sababu ya kuwa chawa wa mtu!!