Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Kwa Katiba hii yeyote atakayekuwa spika bado atakuwa chawa wa Rais tu,mkumbuke Chief Hangaya yupo madarakani kwa miaka mitano kama Makamu na mwaka mmoja kama Rais, ameshanogewa na matumizi mabaya ya madaraka aliyorithi kwa mtangulizi wake. Rais ataendeleza staili ile ile ya kuliweka Bunge mfukoni ili atawale kiulaini.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app

Ndio maana unamuhitaji spika anayejiamini na aliyejitosheleza kama Andrew Chenge!!! Hana sababu ya kuwa chawa wa mtu!!
 
Uliye mtajax2 ndiye anafaa kama Mh Naibu Spika mumeona hastahili hiyo nafasi.
 
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.

1. Tulia Ackson

2. Andrew John Chenge

3. Abdurahman Omari Kinanana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
 
3. Abdurahman Omari Kinana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
Na MIMI HAPA
 
kama sio mtemi chenge basi atakua kihenzile, wait and see.
 
Nashauri apewe mhuni Pole amalizie wahuni wenzake
 
'Tanzania haijawa tayari kuongozwa na mwanamke'-bashiru Ali.
 
Ndugu wana Jamvi, Najaribu kuwaza kiundani kuangalia nani atavaa koti la mzee wetu wa Galilaya (Mh. Job Ndugai) na likamtosha kwenye kiti cha uspika, Tusikie maoni yako kwa hawa hapa chini, pia tuongezee unayeona anafaa na hajawekwa kwenye list.

1. Tulia Ackson

2. Andrew John Chenge

3. Abdurahman Omari Kinana

4. Mussa Azan Zungu

5. Hamad Rashid Mohamed

6. Dr Harrison Mwakyembe

7. Jenister Joachim Mhagama

8. David Mwakiposa Kihenzile

9. Stephen Masatu Wassira

10. Dr Harrison Mwakyembe
Profesa Tundu Lissu hiyo nafasi inamfaa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina wasi mnajitungia ili roho zenu ziondoe Stress. Lakini Hiyo Ni kama kunywa pombe , ikitoka Shida iko pole pole. Mwanasiasa Ana maslahi yake sio ya mtu aliyekufa. Labda kama ingekuwa na falsafa. Ila kwa maisha ya Sasa kila mtu na tumbo lake. Hakuna Sukuma gang.
Mimi ambaye ni mkulima nilishazoea maisha haya, tatizo ni kwa hao waliokuwa wanalia kivulini kwenye awamu ya 5, sasa wanaumia kuona wengine ndio wanakula, wakati wao utamu umekatishwa ghafla!!
 
Back
Top Bottom