Nani anafaa kuwa Spika mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?

Katiba ibadilishwe hizi nafasi ziwe zinatangazwa wenye sifa wapeleke CV zao kazi ifanyike.

Hawa watu wa kitengo wanaoifanyia kazi CCM ndio kikwazo kimojawapo cha maendeleo ya hili taifa, wanachangia sana kuendeleza umasikini na kudumaza uwezo wa kufikiri wa watanzania.
 
Viva Sukuma gang.
Mama amewakana wavaa kanzu na wala urojo kweli siamini.
 
Kutonywa na Tulia ni uongo mtakatifu hakuna asiye penda cheo labda Einstein.
 
Naanza kuyajua ambayo Upinzani kama ungebahatika kushika dola ambayo wangefanya.
 
Naunga mkono hoja.
 
The Havard Varsity alumini....with all chips relaying info to the "cloud web" owners. Joking ingawa siyo mazuri.
 
Ndiyo hivyo sasa. Lazima kwanza uwe mbunge. Umeelewa sasa?
 
Huyu huyu mzee wa vijisenti? Ikiwa ni kweli basi watawala watakuwa wanatudharau sana Watanzania.

Vv
 
Atakae chaguliwa sio spika atakuwa subwoofer ,maana wabunge waliopo hawakuchaguliwa na wananchi ,ngoja Ndugai wazimu wake umpande inakuwa hana msalie mtume anarapu kuliko gari iliyoburst egzozi
 
Kwa mtazamo wangu kutokan na uzoefu, umakini, busara, hekima za ndugu ridhiwan kikwete anafaa kuongoza muhimili huu wa bunge na imani yangu itakua historia kwa kijna hyu kuliongoz bunge kwa umakin mkubwa hatutegemei kusikia maneno ya ajabu kutoka bungen kwani amelelewa na kukuzwa katika misingi ya uongoz


Sent from my SM-G965U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…